cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa kwan sisi tunamuogopa huyo mamelody? Aje tyuuh.Natamani Simba apewe Mamelod, haki ya nani nitakuwa pale kwa Mkapa kuwashabikia Mamelod.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwan sisi tunamuogopa huyo mamelody? Aje tyuuh.Natamani Simba apewe Mamelod, haki ya nani nitakuwa pale kwa Mkapa kuwashabikia Mamelod.
Mkuu haya maneno unayatoa moyoni kabisa?Sasa kwan sisi tunamuogopa huyo mamelody? Aje tyuuh.
Tena namtaka sana huyo mamelody.Mkuu haya maneno unayatoa moyoni kabisa?
Simba heri akutane na mamelody, na sio al ahly. Al ahly mwenye kombe lake wakifika hatua hizi humtoiTena namtaka sana huyo mamelody.
Petro Atletico na Al Ahly ndio timu hazijafungwa mechi hata Moja hatua hii ya makundiMimi nasema Yanga tutakutana na Petro Atletico, Simba na Mamelody.
Mbona mnatupiana huo mzigo wa Mamelod?Kwa ufupi yoyote yule atakaye panda mtumbwi wa hao Jamaa basi itoshe kusema R.I.P.Natamani Simba apewe Mamelod, haki ya nani nitakuwa pale kwa Mkapa kuwashabikia Mamelod.
Huyo Jamaa kaandika kana kwamba hakuna draw bali matakwa ya maafisa wa CAFSababu ni nini wakati droo ndio inayoamua?
wauza magodolo uyo ASEC Mbona mnapenda kujipendekeza sana kwakeYANGA -ASEC
SIMBA -MAMELOD
TP MAZEMBE- AL AHLY
P LUANDA -ES TUNIS
Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga.[emoji848][emoji3][emoji3]Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Kwanza huwezi kushinda kombe hili Bila kucheza na timu kama hiyo, ni vizuri timu ngumu kama Mamelodi tuwapunguze mapema tu kwenye robo fainali.Sasa kwan sisi tunamuogopa huyo mamelody? Aje tyuuh.
Simba akipangiwa Al Ahly kuna uwezekano wakavuka. Al Ahly sio wazuri kivile. Simba kumtoa Al Ahly sio ajabu.