ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Umepatia Mkuu, yaani ungebeti hii ilikuwa ni jackpot kabisa 😆😆Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
View: https://www.instagram.com/p/C4ankdItPCY/?igsh=MXR2NXIya2dwaTRobQ==