Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.

Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga.

Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.

Naunga Mkono hoja[emoji736][emoji736][emoji736][emoji2957]
Kuna Jitu linajiita Muite limeamzisha Uzi linajifanya lenyewe ni simba Eti Linaona Kuna Fitina!
Yanga Kupangiwa Mamelodi
 
Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.

Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga.

Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Balaa laja.
 
Simba Sc anatoboa nusu fainali, Ahly tunawajuà nje ndani wale...

Vyura poleni safari yenu ya matumaini ndio imefika kikomo..
 
Mimiiii ni Yangaaaa a.k.a utopolo wa jangwani nasemaje? Tutakandwa mpaka tusemeeeeee
 
Back
Top Bottom