Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

Umepatia Mkuu, yaani ungebeti hii ilikuwa ni jackpot kabisa 😆😆

View: https://www.instagram.com/p/C4ankdItPCY/?igsh=MXR2NXIya2dwaTRobQ==
 
Umetisha baba, yani kama mchungaji mashimo.
 
Hongera sana, umepiga mle mls
 
Mechi ya kwanza ya Yanga ni fainali na itaamua endapo ana matumaini au habari itaishia hapo.

Simba ni 50/50 Dsm na Cairo. Lkn Mechi ya Cairo ndiyo itaamua.
 
Haina shida ikiwa hivi. Kwa mzuka wa timu za Tanzania naimani kuna moja itafika nusu fainali. Ushabiki pembeni, tuitakie Tanzania mafanikio mema
Mzuka unacheza mpira?

Mzuka ni mbinu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…