mr sangoyi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 337
- 302
source ya hii habari au ndio ugisigisi......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Munawaamini akina BBC kuliko hata mimi kweli wakuusource ya hii habari au ndio ugisigisi......
tumehoji tuu ila suala la kukuamini ni mchakatoMunawaamini akina BBC kuliko hata mimi kweli wakuu
Ngoja nilete source kuwaaminishatumehoji tuu ila suala la kukuamini ni mchakato
Video ya habari hii ikipatikana, nitag.Bila video clip au audio huu uzi utakuwa ni uzushi tu[emoji38]
Nasikia aligusia kidogoAlishindwa kutabiri kifo chake na namna ambavyo angetimliwa toka kwenye ulaji BAKWATA.
Mhula mmoja miaka 5, muda mifupi ni hii miezi tangu uchaguzi.Miaka 6 ni kipindi kifupi? Si angesema asingemaliza muda wake, basi
Naye kwa sasa yuko wapi.Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona mbele? Najua kuwa aliwahi kutabiri kuwa mtu yeyote atakayechukua formu kumpiga Kikwete mwaka 2010 angekufa ghafla, watu ndani ya CCM ambao walikuwa wameshapanga mkakati wa kumng'oa Kiwkete mwaka 2010 wakaa kimya kabisa.
ALIYEKUWA Mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein aliitisha mkutano wa wahariri na waandishi wa habari mwaka 2006 na kuzungumzia utawala wa Rais Jakaya Kikwete ukiwa na umri wa mwaka mmoja tu.
Baada ya kuzungumza hayo nilipata nafasi ya kumuuliza. Je Tanzania baada ya Kikwete inaweza kupata rais mwanamke?
Shehe Yahya alinijibu:
“Baada ya vipindi viwili vya Rais Kikwete atakuja rais ambaye ni mweusi mchapa kazi lakini mchekeshaji sana, hata hivyo atatawaka kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata rais mwanamke.”
Wahariri na waandishi waliguna kuonesha kutokubaliana naye wakiwemo wahariri wakongwe Hemedi Kimwaga, Yasini Sadiki, Magnus Mahenge na wengine ambao siwezi kuwakumbuka.
Shehe Yahya baada ya kuona tunambishia alichukua ubao kama ule wa darasani na mkononi alishika kutabu kilichoandikwa Astrology: Monthly numerology, akaanza kufanya hesabu kwa fomula anazojua yeye na akatuambia kwamba kwa Jakaya inaonesha atamaliza muda wake wa miaka kumi na lakini ajaye ataongoza kwa kipindi kifupi.
Tulimuuliza ataongoza kwa muda mfupi kwa sababu gani, alisema hayo mengine yeye hawezi kujua lakini akasisitiza kwamba hivyo ndivyo itakavyokuwa. Tulitawanyika pale kila mmoja akiwa anaona kama amepigwa ‘changa la macho’.
Lakini sasa nimeng’amua kwamba kumbe alikuwa akimtabiria mama Samia bila yeye mama kujua tulichokuwa tunafanya.
HAKIKA SHEHE YAHYA ALIKUWA MNAJIMU WA KWELI.
Kumbuka haya yanatokea baada ya miaka 15 ya utabiri wake na mtabiri akiwa katangulia mbele za haki. Sheh Yahya alifariki mwaka 2011. Mungu ampe raha ya milele na amnusuru na adhabu ya kaburini.
kwani alitimuliwa bakwata?Alishindwa kutabiri kifo chake na namna ambavyo angetimliwa toka kwenye ulaji BAKWATA.