Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein mwaka 2006 na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke

Shehe Yahya alinijibu:
“Baada ya vipindi viwili vya Rais Kikwete atakuja rais ambaye ni mweusi mchapa kazi lakini mchekeshaji sana, hata hivyo atatawaka kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata rais mwanamke.”
 
Kama alieahi kutabiri kuhusu kigogo unitagi mkuu 🚶🚶
 
Majina yanayolazimisha kutamkwa kutokea ktk ulimi na kutoa mlio kama SSHH yakija pamoja hivyo Saaaamia Suuuuluhu Haaassan




mnajimu mashuhuri sheikh Yahya Hussein (shoto) akipiga stori na makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein
 
Naye kwa sasa yuko wapi.
Unatabiria mwenzio kifo?
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…