Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

PAMOJA NA KWAMBA HATUAMINI WAGAMGA NA WANAJIMU KM HUYU SHEHE LKN KUNA WKT WANABASHIRI SW (YEREMIA 27:9)
 
Mkweame panic mnoo..suaka la familia zaidi...yukotayari afe kwanza kulinda familiaa
Anaona wataabika yeye na Mama mkwe wake..... Anawakati mgumu sana na kibaya umma unawaona ni wale waliokosa kabisa utu
 
Sana chadema chini ya TAL na Heche wamepanga safu yao vizuri sana
 
Naombeni video au audio ya huyo sheikh akiyasema hayo
Juzi kati hapo kuna jamaa walitafutana ili kuua hiyo scene ya huyo mzee.

Kwamba wao ndiyo walikwenda kumfanyia interview marehemu sheikh na kweli aliongea kuhusu Rais kufia madaraka ila hakuwahi kuongelea hilo la upinzani kuchukua nchi.

Hapo hapo nikashtuka how?.
Hofu.
 
Naombeni video au audio ya huyo sheikh akiyasema hayo
Yule mzee enzi hizo alikuwa anawaalika waandishi wa habari pale nyumbani kwake Magomeni Kagera. Kwa kuwa wakati huo matumizi ya video hayakuwa na msukumo kama sasa, press zake baadaye ziliandikwa kwenye magazeti ya uhuru na mzalendo.
Naamini itakuwepo clip iliyohifadhiwa na media house zilizo makini.
Nakumbuka kuusikia na kuusoma utabiri huo miaka hiyo japo sikuuamini sana....utabiri huu unaenda kutimia bila shaka. 🤔
 
Acha masihara ndugu, ccm hawawezi kutoka madarakani kwa boksi la kura.
Umesahau alichofanya jecha kule zenji?
 
Inaitwa hofu kuu
 
Sure mkuu, time will tell
 
Lissu alichaguliwa mwaka huu, hiyo miaka miwili ni ipi?
Changamoto ni kwamba hawajapata hata nafasi ya kutekeleza waliyoahidi katika uchaguzi kwenye chama chao.
 
Nyepesinyepesi zinasema hakubaliki hata na wanafamilia yake ya kijani
 
Uzuri Sheikh hakutoa mbadala , so utabili upo palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…