Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Utatimiaje wakati hamshiriki uchaguzi mkuu?
 
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi." - Sheikh Yahya Hussein
📌
Wasichojua Sa100 na wenzake ni kuwa kujaribu kupingana na unabii ni kama kuzuia upepo au mafuriko kwa mikono..
Ngoja tuone
 
Hawa kwa nguvu wanayotumia dhidi ya wapinzani watachelewa kutoka aise.

Tusubiri hadi mwaka 3025.
 
Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Asiue na kupoteza watu kwa tamaa za madaraka yake.

Kutawala nchi na wananchi wake hakuji kimiujiza kama anavyodhani, mpango huo huwa upo katika mpangilio na chaneli za nyakati na hawezi kuzibadilisha yeye binadamu hata kwa kumwaga damu.

Utabiri kuonesha 'baada yake' hakulazimishi kutawala mhula mmoja, kwaweza kuwa atatawala mihula yote miwili na upinzani ukaja baada yake, ama zikapita miongo kadhaa ndiyo upinzani ukaja kuchukua dola, yote yanaingia kwenye utabiri huo huo.

Lakini kwa anayoyafanya sasa, yanamnyima kibali mbele za Mungu na mbele za raia wake kuendelea kutawala nchi kidhalimu namna hii kama anavyofanya sasa.

Nchi imecorrapt na kucollaps, ipo katika 'State capture': Bunge, Mahakama na State vyote vinamfia kimaadili mikononi mwake na hana uwezo tena wa kunyanyua mdomo kukemea na kuweza kuchukua hatua zozote, hawezi.

Mungu muweza wa yote atushushie rehema zake tuvuke salama katika kipindi hiki kigumu na kibaya sana kuwahi kushuhudiwa katika nchi yetu tangia tupate Uhuru.
 
Well said mkuu
 
ACHENI UPUMBAV NYIE WAZEE WA NO REFORMS.

Yahya hakutabiri huo upuuzi mnausema ...

Nenda jamii check (hapahapa Jamii forum)
Ingia kwenye forums ... Utakuta jamii check.
Search utairi wa shekh Yahya.

Utagundua kua hakutabiri hivyo mnavyojidanganya. Maneno ya shekh yaliishoa kwenye RAIS MWANAMKE. Fullstop.
 
Nyepesinyepesi zinasema hakubaliki hata na wanafamilia yake ya kijani
Acha tusubiri uchaguzi wa wawakilishi wao bungeni hapo tutaona mtifuano na maoni ya wazi kuhusu mgombea wao
 
ACHENI UPUMBAV NYIE WAZEE WA NO REFORMS.

Yahya hakutabiri huo upuuzi mnausema ...

Nenda jamii check (hapahapa Jamii forum)
Ingia kwenye forums ... Utakuta jamii check.
Search utairi wa shekh Yahya.

Utagundua kua hakutabiri hivyo mnavyojidanganya. Maneno ya shekh yaliishoa kwenye RAIS MWANAMKE. Fullstop.
No reform no election, utabiri upo pale pale kama reform zitafanyika
 
Back
Top Bottom