Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Yule mzee enzi hizo alikuwa anawaarika waandishi wa habari pale nyumbani kwake Magomeni Kagera. Kwa kuwa wakati huo matumizi ya video hayakuwa na msukumo kama sasa, press zake baadaye ziliandikwa kwenye magazeti ya uhuru na mzalendo.
Naamini itakuwepo clip iliyohifadhiwa na media house zilizo makini.
Nakumbuka kuusikia na kuusoma utabiri huo miaka hiyo japo sikuuamini sana....utabiri huu unaenda kutimia bila shaka. 🤔
Chadema acheni bangi
 
Juzi kati hapo kuna jamaa walitafutana ili kuua hiyo scene ya huyo mzee.

Kwamba wao ndiyo walikwenda kumfanyia interview marehemu sheikh na kweli aliongea kuhusu Rais kufia madaraka ila hakuwahi kuongelea hilo la upinzani kuchukua nchi.

Hapo hapo nikashtuka how?.
Hofu.
Nataka ushahidi sio ngonjera
 
Sana halafu amewaharibia sana wanawake wenzake big time kuaminiwa kwenye nafasi kubwa sababu ya tamaa yake ya madaraka..... Alitakiwa aache alama ili awe role model kwa wengine
Yani ameshindwa kutumia Golden chance aliyoipata na ameharibia wengine wote hvy kbs
 
Anaona wataabika yeye na Mama mkwe wake..... Anawakati mgumu sana na kibaya umma unawaona ni wale waliokosa kabisa utu
Wapigaji waliwaambia sambaza picha zako nchi nzima wakapiga hela. Nunua na kusambaza pikipiki/bajaj nchi nzima wakapiga hela. Walambishe asali Maafisa wa vyo.bo vya ulinzi na usalama pamoja na baadhi ya Wapinzani bila kusahau ule Mhimili ulionajisiwa majuzi wakapiga hela.

Waliamini katika fedha. Ukiwa nazo hakuna litakaloshindikana. Sasa limeshindikana. Hakuna mkate mgumu kwa chai sasa mkate umekuwa jiwe.

Hapo wataacha kuchanganyikiwa?? Wamemkamata Mh Lissu wakitegemea kundi la kondoo litatawanyika. Wameangukia pua. Hata wakimhukumu kesho kunyongwa SUMU ya NO REFORMS NO ELECTION imeshakolea mpaka kwenye chama chake. Watabaki na chawa wao tu.

Mataifa ya nje yameshamdharau. Viongozi wa Dini wengi wao wamemuweka pembeni. Wataacha kuwa na hasira??
 
Mkweame panic mnoo..suaka la familia zaidi...yukotayari afe kwanza kulinda familiaa
Mimi natabili kama Samia atalazimisha kuendelea kutawala kwa wizi wa uchaguzi. Hata maliza kipindi cha pili , aibe uchaguzi au asibe vyote ni sawa hakuna kitakacho mpa usalama. Bora akubali kuondoka kwa heshima. Asifikiri Mpango ni mjinga kuamuwa kuacha umakamo kabla hata mda wake. Mwezake kaona mbali kaona salama yake ni kukaa pembeni.
 
Wapigaji waliwaambia sambaza picha zako nchi nzima wakapiga hela. Nunua na kusambaza pikipiki/bajaj nchi nzima wakapiga hela. Walambishe asali Maafisa wa vyo.bo vya ulinzi na usalama pamoja na baadhi ya Wapinzani bila kusahau ule Mhimili ulionajisiwa majuzi wakapiga hela.

Waliamini katika fedha. Ukiwa nazo hakuna litakaloshindikana. Sasa limeshindikana. Hakuna mkate mgumu kwa chai sasa mkate umekuwa jiwe.

Hapo wataacha kuchanganyikiwa?? Wamemkamata Mh Lissu wakitegemea kundi la kondoo litatawanyika. Wameangukia pua. Hata wakimhukumu kesho kunyongwa SUMU ya NO REFORMS NO ELECTION imeshakolea mpaka kwenye chama chake. Watabaki na chawa wao tu.

Mataifa ya nje yameshamdharau. Viongozi wa Dini wengi wao wamemuweka pembeni. Wataacha kuwa na hasira??
You nailed it mkuu..... Kuchanganyikiwa ni lazima tena jinsi wanavyowapuuza hata viongozi wa dini kiukweli haipendezi kabisa. Kila mtu anaona jinsi Samia anavyoendesha nchi badala ajirudi ila ameshupaza shingo na ndio maana uungwaji mkono unazidi kupungua sana. I'm sure hata ndani ya CCM wengi hawapendezwi na hii hali
 
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Hata bila ya kuyaamini mambo ya aina hiyo; matokeo yake yakiwa hivyo hiyo itakuwa baraka ya Mungu kwa waTanzania wote.
 
Kitu mnachojidanganya ni kukubal kudanganywa kua mko katika mfumo wa vyama ving kweli
 
Back
Top Bottom