DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao
1) 2025 Rais Samia atashinda
Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi. Mambo yatakua kama chaguzi zilizopita
Wabunge wa vyama vya upinzani wataongezeka bungeni. Ni kwamba watalegezewa nao washinde baadhi ya majimbo ili wasimletee kidomo domo Saa100. Usitegemee akina Mbowe na wenzake washinde eti wasiwe comfortable na ubunge wao kisa eti huyu mama ni wa CCM!!!! Who told you? Rais atakua ni wa ccm pamoja na wabunge kadhaa wa upinzani kama chaguzi zilizopita.
2) Kabla ya uchaguzi 2030 tutapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
kabla ya uchaguzi wa 2030 Mama atatupa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Atafanya hivyo kwa sababu yeye atakua hana cha kupoteza. Atafanya kama alivyofanya JK ingawa JK ni movement tu ilikwama.
3) 2030 CCM itashindwa hata kama haitashindwa ila kutakua na serikali ya mseto
Hii ni 100% niamini mimi. Hapa Samia atakua ameondoka madarakani kwa hiyo uchaguzi utakua huru na haki kutokana na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.. Mama atawaacha Ccm na upinzani wapasuane watajua wenyewe.
4) Kabla ya 2030 au muda mfupi baada ya hapo Zanzibar itajitenga. Late 2020 au 2030's Zanzibar itajitenga isipojitenga mniite Mbwahh.
Suala la Zanzibar kujitenga ni Serious issue na hata Mama pamoja na mwinyi wanapenda iwe hivyo, several time huwa wanawasiliana kuhusu hilo. Just imagine Jussa mtu wa system kabisa zenji anasema "ya bandari yenu sisi hayatuhusu". Just imagine serikali ya Zanzibar inasema wazi kabisa kwamba wao wana ardhi Tanzania bara, yaani ni kama mkeo uliyemwoa anakwambia nyumba mnayoishi ni ya kwake!!! Huoni hiyo ni red flag ya yeye kupambania talaka ya kuachana?
Kwa kuwa kutakua na tume huru ya uchaguzi pamoja na katiba mpya kwa hiyo wazanzibar watakua huru kuchagua either kujitenga au kubaki kama Tanzania, imeisha hiyo wazenji hawapendi Muungano, pia hata wabara asilimia kubwa hawapendi Muungano. In short hii ni ndoa ya bora tuishi. Hii ishu itakua kama ya sudani kusini.
Kuonyesha kwamba maza hana tym na Muungano ndio maana anauza bandari kwa sababu ameona ni bora wapate ndugu zake waarabu kuliko hawa mablack niggerz wa huku bara.