Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 1,005
- 1,786
Kiko wapiiiMkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
Jamaaa umetisha kinoma.Yamekuvutia sana??
kipi kilikufanya utabiri hivyo?Yamekuvutia sana??
Kuna meditation nzito sana nimeifanya, na kwa hakika, kuna V8 la mkubwa mmoja litabiduka kabla ya oktoba 29Yamekuvutia sana??
Ametisha kwani mshindi wa uchaguzi ameshatangazwa? We subiri uone, huu utabiri ni wa uongo.., Oktoba 29 sio mbali, tusubiri..Jamaaa umetisha kinoma.
Mbona kama Kuna kitu mnakijua ila hamtaki kuweka wazi?Ametisha kwani mshindi wa uchaguzi ameshatangazwa? We subiri uone, huu utabiri ni wa uongo.., Oktoba 29 sio mbali, tusubiri..
Naweka seat mkuu tukutane OctoberAmetisha kwani mshindi wa uchaguzi ameshatangazwa? We subiri uone, huu utabiri ni wa uongo.., Oktoba 29 sio mbali, tusubiri..
NaamMaisha ya kijijini ni mazuri kuliko huko kwenu mjini mnavyoishi kwenye vichochoro chumba kimoja chenye dirisha kama upo jela.
Sasa mbona ulianza kuleta matusi? Ukiona kwenye mada yeyote hata kwenye hoja nyepesi mtu anaanza matusi badala ya kujibu muktadha basi jua kashashindwa.
Ni sawa na kuona wingu jeusi then unasema mvua itanyesha baada ya muda mchache ,inatakiwa useme mvua itanyesha wakati kukiwa na jua kali halafu anga jeupe hapo ndiyo tutajua una maono.
VC president ni mwanamke halafu unaleta utabiri eti rais 2025 atakuwa mwanamke huo ni UBASHIRI.
Kuna mtu hapa alitabiri ngede itadondoka na kweli ikadondoka ,alitabiri tukio ambalo ni nadra sana kutokea ,huo ndiyo utabiri ,kuna member humu yeye anatabiri kuna mtu mkubwa atakufa ndani ya miezi michache na watu wanamuamini ,huo ni ujinga hakuna binadamu atakaye ishi milele iwe mdogo au mkubwa ,sasa ikitokea kiongozi kafariki wanaona jamaa amepatia ,ni UZWAZWA huo.
JIbu swali ni lini VP alikua rais mbali na Dr samia