Wee jamaa ulijuaje aiseee...Ooh. Asante sana mkuu.
🤣 🤣 🤣 🤣Mkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
Unataka kusema person from majan saba anaweza ku rise voice? Ndg mtabiriAnayefuatia hatoki BAKWATA wala ROMAN.
Kumbaff. SI kwa sababu uliona kuwa makamu wake alikuwa mwanamke. SimpoNaona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Mimi mwenyew sipo kwenye system lkn naweza toa mkeka ukatikiWahuni tunao humu wanajua wanachokifanya wala sio tabiri hizi ni mipango yao ya muda mrefu..!!
Kwa utabiri huo wake ni watu wa mtandao..Mimi mwenyew sipo kwenye system lkn naweza toa mkeka ukatiki
Mpana
Mr slow
Mr project
Mr Will
Mr tobo
Mmoja wa hawa hatofika October tutamfukia mavumbini
Kabsa ni vitu vya script hakuna unabii hapoKwa utabiri huo wake ni watu wa mtandao..
Kabsa ni vitu vya script hakuna unabii hapoKwa utabiri huo wake ni watu wa mtandao..
Wanajua nn zaidi kuota mchana kweupe!!!Mbona kama Kuna kitu mnakijua ila hamtaki kuweka wazi?
Atashindaje wakati ameisha'shinda aka kushindishwa?'Ni kweli Samia atashinda.
Au huyu ndo Kikwete ?2025 mtifuano utakua mkubwa sana na wa aina yake, suluhisho itakua kwa mwanamke! Na Atashinda!
Lol misukule ya Magufuli, ilikuwa inamuona kama mungu wao. PoleMagufuli mpaka 2050! Kama hulijui.
Nyie mchongeeni tu kwa Mungu, na Mungu hajaribiwi shauri yenu na kufuru zenu hizo.