Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Masikini.Magufuli mpaka 2050! Kama hulijui.
Anatabiri au anadokezwa na watu wa mifumo!?Aliyeweza kutabiri utabiri wa kweli tena kabla ya wakati na kumtaja jina kabisa ni Paschal Mayalla ndiye aliyetabiri kwa uhakika 2015 Rais anaweza kuwq Magufuli.
Achana na huyu tapeli hakuna utabili wowote hapo, hata sheikh Yahya alishatowa tabiri zake za kimchongo Rais ayaje atakuwa mwanamke.
Mtabiri wa kweli ni Mayalla peke yake aliyemtaja jina kabisa Magufuli miaka kadhaa kabla ya mchakato, twna angekuwa tapeli ilikuwa Rahisi tu kutabiri ni Lowasa ndiye atakuwa Rais maana upepo ulikuwa kwake.
Anakula pambaSamia 2025.
Itakuwa noma sanaAcha tuone utabiri wa shehe Yahaya ukitimia
Jamaa kapatiaJamii fournm inapoteza ladhaa
Ilimradi upinge tuu kisa unaona kilichozungumziwa kinakwenda kuwa.
Ramli chionganishi za nmna hii huwa mnaoteshwaje?Nyie mchongeeni tu kwa Mungu, na Mungu hajaribiwi shauri yenu na kufuru zenu hizo.
NaamHakuna utabiri hapo mkuu bali ni UBASHIRI.
Utabiri unaongea kitu ambacho kwa wakati huo hakuna atakayeamini kwasababu hakuna possibilities za kutokea....Sasa unatabiri 2025 rais mwanamke huku VC ni mwanamke ni Utter Non Sense! Yaani Possibility ya VC kuwa Rais ni 50/50.
Subiri SSH amalize 2030 then ndiyo useme 2030 Rais atakuwa Mwanamke hapo nitakuelewa maana hata mchakato haujaanza.
Acha wivu wa kike pimbi wewe
Maisha ya kijijini ni mazuri kuliko huko kwenu mjini mnavyoishi kwenye vichochoro chumba kimoja chenye dirisha kama upo jela.Vitu vizito ndip kijijini kwenu walivokudanganya..??hayo ni mashuzi mazito..na sio vitu vizito kama unavyotaka kujiaminisha
Aaagh, mambo gani sasa haya?!!Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Ni lini Tanzania vice president alikua. Rais ili iwe likely kwamba event aliyotabiri ni rahisi kutokea.??
Sheikh YahyaNaona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!