Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Mkuu Stroke, kwanza asante sana kwa hii link, maadam reference yako ni Rais wa 2025,
Naomba na mimi nikupe reference yangu ya 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!

Tukutane 2025!.
P
Wewe some time ni zuzu kwelikweli .....hicho kitu ni impossible...samia ndiye rais wa mwisho mzanzibar kuja kuwa rais wa muungano baada ya samia hakuna zanzibar atakaye kuwa Rais hadi muungano utakapo vunjika
 
Mkuu Lwiva, heshima kitu cha bure, hakuna haja ya kutukanana mazuzu kwa jambo ambalo hatuna uwezo nalo!.
Anayeamua nani awe rais wetu na lini sio mimi, sio wewe wala sio yeye bali ni YEYE!.

Ndio maana nikasema hata rais wa JMT kwa 2025 anayepanga ni mmoja tuu!, YEYE!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Wewe ni zuzu nashangaa mkuu wa mazuzu ajakulambisha asali mpaka sasa hivi ...maana sa100 anatafuta watu mazuzu kama nyinyi awape uwaziri.pia mimi sijakutukana bali nimekusifia kuwa wewe ni ZUZU ...KUWA ZUZU AWAMU YA SITA YA SA100 NI SIFA KUBWA SANA ...WEWE SIKU ZOTE UMEKUWA UNAJISOGEZA KWA SAMIA UNATAKA KUONEKANA SASA KAMA NI HIVYO USIKATAE UZUZU KWA SABABU SA100 ANA TAFUTA WATU WA HIVYO ....ukikataa uzuzu upo kinyume na samia na utakuwa adui wake milele sahau kulambishwa asali.
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
mkuu hakuna kosa litakalotokea kama hilo tena[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mkuu Lwiva, heshima kitu cha bure, hakuna haja ya kutukanana mazuzu kwa jambo ambalo hatuna uwezo nalo!.
Anayeamua nani awe rais wetu na lini sio mimi, sio wewe wala sio yeye bali ni YEYE!.

Ndio maana nikasema hata rais wa JMT kwa 2025 anayepanga ni mmoja tuu!, YEYE!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
Nimefanya mazungumzo na huyo YEYE, amedai hakutakuwa na kosa jingine la kuweka mwanamke katika mafasi nyeti kama hiyo.

LABDA DAMU IMWAGIKE.
 
Wewe ni zuzu (1) nashangaa mkuu wa mazuzu (2) ajakulambisha asali mpaka sasa hivi ...maana sa100 anatafuta watu mazuzu (3) kama nyinyi awape uwaziri.pia mimi sijakutukana bali nimekusifia kuwa wewe ni ZUZU (4)...KUWA ZUZU (5) AWAMU YA SITA YA SA100 NI SIFA KUBWA SANA ...WEWE SIKU ZOTE UMEKUWA UNAJISOGEZA KWA SAMIA UNATAKA KUONEKANA SASA KAMA NI HIVYO USIKATAE UZUZU (6) KWA SABABU SA100 ANA TAFUTA WATU WA HIVYO ....ukikataa uzuzu (7) upo kinyume na samia na utakuwa adui wake milele sahau kulambishwa asali.
Kiukweli humu kuna watu mna midomo michafu!, mwanzo umenitukana zuzu mara moja tuu, I begged you, mimi sio zuzu na sipendi kuitwa zuzu!, tena nikakusisitiza heshima kitu cha bure!, badala ya heshima, sasa ndio umefungulia!, zuzu 7 ndani ya para 1!.
Naomba itoshe, mimi ni zuzu!.
Ubarikiwe na uwe na siku njema.

[emoji1787][emoji115][emoji115]KAMA UTAKI KUWA ZUZU UMESHA POTEZA SIFA YA KULAMBA ASALI YA MAMA ...SAHAU KUPEWA TEUZI ...CHEKI MWENZAKO MBOWE KAKUBALI KUWA ZUZU SASA ANA NAWILI TU , NA CHUPA YA KONYAGI KATUPA SASA ANA CHUPA YA ASALI.wewe endelea kushupaza shingo kwa kukataa uzuzu[emoji1787][emoji1787] mimi ndiyo genius ninacho sema ni kweli kama unataka mama samia akupe uongozi tumia hii kanuni yangu ya kijiniasi
* KAMA NI MUISLAMU AU MKRISTO BASI ACHANA NA HIZO DINI .....INGIA KWENYE DINI YA UISIHARAMU.
*KAMA WEWE UNAPINGA UZUZU ACHANA NA HIYO NJIA ...ANZA KUWA ZUZU NA KUSHABIKIA UZUZU.
Ukifanya hayo nakuhakikishia chupa ya asali itakuwa mikononi mwako very soon
 
Nimefanya mazungumzo na huyo YEYE, amedai hakutakuwa na kosa jingine la kuweka mwanamke katika mafasi nyeti kama hiyo.

LABDA DAMU IMWAGIKE.
Damu itamwagwa na huyo anaye ng'ang'ania uongozi kwa sababu lazima atatumia mbinu chafu kuendelea kukaa madarakani ..tumia akili sisi tunaona mbali sana hadi kufika 2024, sa100 hatakuwa kachokwa na uchumi wa nchi utakuwa umekufa kabisa ila sijui kama yeye mwenyewe atakuwa na moyo wa kutaka madaraka kinyume na watz
 
Wewe some time ni zuzu kwelikweli .....hicho kitu ni impossible...samia ndiye rais wa mwisho mzanzibar kuja kuwa rais wa muungano baada ya samia hakuna zanzibar atakaye kuwa Rais hadi muungano utakapo vunjika
Mkuu kwanini upende kutumia maneno makari kwa mtu unayehisi katofautiana kimtazamo na wewe?? hata Mimi nilikuwa na haiba Kama yako lakini baada ya kuona jf Ina watu wasitaarabu nakila nilipojaribu kuwa na tabia za ajabu wanajf walinikanya, mwisho wa siku nimeacha kabisa kutumia maneno ya kukela, jf imenifunza kuwa mtu mvumilivu na mwenye kuheshimu watu wote ninaohisi siko nao pamoja kimtazamo.

Heshimu mawazo ya watu , badilika Mkuu!!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Wanabodi,
Kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisiasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, utatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
Mkuu Stroke, humu jf tunajadiliana kwa hoja, facts na nondo za kutetea hoja yako. Ukitoa hoja fulani, unaitetea hoja yako kwa facts na data.

Bandiko langu hili la 2017, ni full of facts, data na specific kumhusu Samia!,
Kuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.

Watu bhana.
Wewe bandiko lako hili, Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke
japo ni la 2016,
ulisema
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
ulizungumzia tuu jinsia ya rais wa Tanzania, 2025 na wala hukumtaja ni nani, ukimaanisha anyone alimradi ni mwanamke.

Bandiko langu ni kuhusu urais wa Samia kwa 2020, utasemaje nimecopy bandiko lako which had nothing compared?.

Kwenye bandiko langu hili, nini nilicho copy kwako?. Mimi nimezungumzia urais wa 2020, wewe umezungumzia urais wa 2025, copycat na plagiarism iko wapi?.

Simba na Yanga zikicheza, kisha wewe ukabashiri, "kuna timu itafunga bao", bila kuitaja hiyo timu au mabao, huo sio ubashiri ni kuotea tuu!.

Ubashiri wa kweli ni kuwa specific!.
P
 
Back
Top Bottom