bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Bro acha utani bhana sura nzuri iko wapi lakini?Kweli sura sio roho. Sura nzuri,ushungi mwingi, wanja wakujaa ila roho ya kiYezebeli
Roho na sura mbona km vinafanana tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro acha utani bhana sura nzuri iko wapi lakini?Kweli sura sio roho. Sura nzuri,ushungi mwingi, wanja wakujaa ila roho ya kiYezebeli
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Unazungumzia issue ya mbowel au sabayaMwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Mama hata hajamaliza kupaka wanja kule,Nyie mnasumbua akirudi ni teuzi zingine msilalame kazi inaendelea.Namuomba mama asiyumbishwe na hizi habar za kwenye kanga na vijiwe vya kahawa. Safari hii Sabaya na Mbowe kila mtu anavuna alichopanda. Acha sheria ichukue mkondo wake ili ukweli wa madai yao ujulikane. Kuhusisha watanzania wote kwenye swala linalohusu uhalifu wa kiongozi au viongozi wa chama fulan ni ujinga uliopitiliza. Laiti kama watanzania wangehusika na hili swala basi ingebidi serikali ikodishe polisi wengine zaidi kutoka nje maana wa hapa wasingetosha. Lkn kwa vile kesi inasomwa na watanzania wanaendelea na shughuli zao za kujitafutia riziki zao za kila siku kana kwamba hakuna kilichotokea, basi mleta mada hakutakiwa kulihusisha swala hili na watanzania maana anajivua nguo mchana kweupe.
Umeandika vizuri ila ,pale uliposema, WENDA au sio yeye ni jeshi la police , how ? Kwamba Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya usalama, ndo useme sio yeye ,!!!Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Ni ngumu kuwa ya kweli ukizingatia namna polisi wa Tanzania wanavyofanya kazi.Mkuu nimeoenda Paragraph ya Mwisho!
Kama ni ya Kubambikiza lawama atazibeba
Natamani Uongee kidogo kama Ni ya Kweli Itakuwaje kwa wanaimtetea?
Mimi hapa Nacheka tuu natamani Kujua ukweli ndio maana sitaki kutetea Au Kuulaumu Upande wowote ili nisije kuumbuka Mbeleni!
Mabadiliko huwa hayakwepeki, wakati wa katiba mpya umefika hata asipokuwepo Mbowe.Kizazi cha sasa hatuwezi ongozwa na katiba mfu.Nchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Umejuaje? Wait and seeNchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Kweli mama anavurunda mno sijui amelewa nini?Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Watanzania ni silent protestants, kujifanya huoni mtazamo wao ni kujitia upofu. Kwa sasa hakuna chochote anachofanya Samia kikaonekana cha maana kama ilivyokuwa mwanzo. Amekwenda Burundi ni kama alikuwa chooni, amekwenda Rwanda ndo kabisaa watu hawajali utafikiri kaaga anakwenda kulala. Anafanya teuzi kwa sasa utadhani Monitor wa darasa anayeandika wapiga kelele, yaani hata darasa la jirani kimya hayawahusu. Kumbuka ziara ya Kenya, kumbuka Uganda, kumbuka teuzi za Wakuu wa taasisi, japo alichemka Bandari lakini bado alibeba uungwaji mkono na ujosoaji mdogo. Jana kateua watu muhimu Kiuchumi lakini hakuna anayejali. Vyombo vya habari vinavyojitambua vimeanza kuchuja habari za "Kiccm". UTV waliwahi kuonesha Waigizaji wa CCM wanaojifanya wanachama wa CHADEMA wakaikatisha ghafla habari hiyo, siku hizi wakiionesha wanaandika, " Wanaodai ni". Kusema hakuna uungwaji mkono ni kujilisha upepo. Usiombe watu wakudharau hata kama ni wachache Kama unavyojidanganya ingawaje hata wewe unajua ni wengi.Namuomba mama asiyumbishwe na hizi habar za kwenye kanga na vijiwe vya kahawa. Safari hii Sabaya na Mbowe kila mtu anavuna alichopanda. Acha sheria ichukue mkondo wake ili ukweli wa madai yao ujulikane. Kuhusisha watanzania wote kwenye swala linalohusu uhalifu wa kiongozi au viongozi wa chama fulan ni ujinga uliopitiliza. Laiti kama watanzania wangehusika na hili swala basi ingebidi serikali ikodishe polisi wengine zaidi kutoka nje maana wa hapa wasingetosha. Lkn kwa vile kesi inasomwa na watanzania wanaendelea na shughuli zao za kujitafutia riziki zao za kila siku kana kwamba hakuna kilichotokea, basi mleta mada hakutakiwa kulihusisha swala hili na watanzania maana anajivua nguo mchana kweupe.
Mbowe angekuwa hana uungwaji mkono wewe Polisiccm CCM na wajinga wenzako msingekuwa mnahaha kuwabambikia kesi za ugaidi kwa njia haramu za kishetaniNchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Siro ni kada wa CCM sasa anaitwa siroccm akiwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzaniNi ngumu kuwa ya kweli ukizingatia namna polisi wa Tanzania wanavyofanya kazi.
Polisi hawana credibility wala trustworthy kwasababu hawajawahi kutoa ushahidi wa kweli hasa huyu Sirro ni muongo sana rejea tukio la kutekwa kwa MO, Roma Mkatoliki, kushikiliwa kwa Kakobe, Gwajima na Mdude kesi zote hizi zilikuwa za uongo na mashitaka yasiyo na tija.
Polisi chini ya Sirro hakuna kesi waliyowahi kutoa ushahidi wa kweli na kwa uwazi waliwahi kusema Mzee Mangula amelishwa sumu mpaka leo hawakuwahi kumtaja wala kumshitaki aliyemlisha sumu.
Aliyempiga risasi Lissu mpaka leo hawamjui kifupi Sirro ndio IGP wa hovyo kuwahi kuongoza jeshi la polisi Tanzania.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mama ametekwa Akili na wanufaika wa manyanyaso kwa wapinzani kwani hujinufaisha kupitia Rushwa bajeti za kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi wapinzaniWatanzania ni silent protestants, kujifanya huoni mtazamo wao ni kujitia upofu. Kwa sasa hakuna chochote anachofanya Samia kikaonekana cha maana kama ilivyokuwa mwanzo. Amekwenda Burundi ni kama alikuwa chooni, amekwenda Rwanda ndo kabisaa watu hawajali utafikiri kaaga anakwenda kulala. Anafanya teuzi kwa sasa utadhani Monitor wa darasa anayeandika wapiga kelele, yaani hata darasa la jirani kimya hayawahusu. Kumbuka ziara ya Kenya, kumbuka Uganda, kumbuka teuzi za Wakuu wa taasisi, japo alichemka Bandari lakini bado alibeba uungwaji mkono na ujosoaji mdogo. Jana kateua watu muhimu Kiuchumi lakini hakuna anayejali. Vyombo vya habari vinavyojitambua vimeanza kuchuja habari za "Kiccm". UTV waliwahi kuonesha Waigizaji wa CCM wanaojifanya wanachama wa CHADEMA wakaikatisha ghafla habari hiyo, siku hizi wakiionesha wanaandika, " Wanaodai ni". Kusema hakuna uungwaji mkono ni kujilisha upepo. Usiombe watu wakudharau hata kama ni wachache Kama unavyojidanganya ingawaje hata wewe unajua ni wengi.