Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

Nchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Sasa umeandika nini??
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.

Unazungumzia watanzania gani mkuu. Naona unajiongeza mno. Mbowe hana lolote. Mwaka 2013 nilikuja Tz. Dr. Slaa wananchi wengi walimwelewa sana.
 
Naendelea Kusisitiza kuwa CHADEMA wabadili 'Stragegies' vinginevyo Siku si nyingi watabadilika na kuwa ' labelled Political Terrorist Party' ndani ya Ardhi ya Tanzania.

Acha Kuwadanganya Watu hapa na Kumtisha Rais Samia Suluhu Hassan juu ya Kukamatwa kwa Mbowe na huenda usichokijua tu ni kwamba kwa Upuuzi mnaoufanya hata hao Marafiki ( Maswahiba ) wenu kutoka Ulaya na Mmarekani nao sasa 'Wamewachoka' ndiyo maana hawawasaidii wala kuwasikilizeni tena.

Labda nikuibie Siri tu kwa faida yako na ya 'Hopeless' wengine ni kwamba Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli CHADEMA mlisikika na hata kupata Msaada na Mataifa makubwa kwakuwa nao pia 'Interests' zao nyingi za Kiuchumi ndani ya Tanzania zilikuwa zimebanwa.

Ujio wa Mama ( Rais ) Samia na hasa hasa Kufungua Anga jipya la Kidiplomasia na Mataifa hayo makubwa, kuruhusu baadhi ya 'interests' zao Kuendelea kumegeuza ghafla fikra zao juu ya Serikali ya Tanzania na sasa wametokea Kumkubali vilivyo ( Rais Samia ) hivyo hawawezi Kukubali Kuwaunga mkono Wapinzani wa Tanzania ili nchi 'ichafuke' kisha 'Economic Interests' zao hapa Tanzania ziyeyuke.

Labda mumtafute Mzee Mpili awaokoe.
Wewe nakuonaga Kama mwehu msomi.
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Kama - ni suala la mahakama kuamua kama ambavyo shauri lililopelekwa huko kusikilizwa.
Muda ndio utakamua kama ni kweli au si kweli.
Kitu kingine ni kuwa epuka kumuingiza Mh. Rais na Amir Jeshi Mkuu kwenye sentensi usizokuwa na uhakika nazo.
 
Amalizwe mara ngapi.
Hata kama akijitahidi 2025 atoboi.
Ccm hawawezi msimamisha saa nne asubui.
Tozo na Mbowe vishammaliza achomoki.
 
Mbowe sio popular kama wanavyoaminisha kuna wakati mpaka unasahau kama huyu mzee Yuko jela
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Kwani Mbowe ana ushawishi gani wa kisiasa uliopindukia kiasi utampunguzia Samia ubora wake?

Mkipata taabu Viongozi na wana Chadema, wana CCM wanashangilia, sioni kitu cha upekee kwa Mbowe mbali ya kumkweza asipostahili.
 
Pole,
Watafiti wa nje wameshauri mkiweza make mezani.
Watafiti nje ya nchi yetu wanatekinolojia kubwa kujua Ugaidi duniani.hivyo nilitegemea wangesema wanaongeza nguvu ya intelijensia toka nje.
Mmarekani asikie gaidi halafu awashauri myamalize mezani badala ya kuahidi kuleta msaada wa vifaru.Somo kwako
Kirusi cha ugaidi kimejibadili na kipindi hiki kinajivika koti la uanasiasa!
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Mara mbili kaka.... 2025 hatoboi hata kama akibana katiba mpya....CCM wana mkakati hatari.

Hajui kucheza na karata zake vzr kuzoa credit za makosa ya mwendazake.....ashafeli mapemaaa

.
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Hii ni vita dhidi ya Ukristu, magaidi wote waliachiwa iweje mbowe aitwe gaidi?
 
Apo mama kapania kifungo cha maisha
UHUJUMU uchumi na ugaidi na ile ya kuuwa viongozi wa juu ni life sentence
 
kila mtu atavuna alichokipanda! Kama alifanya ugaidi ,hatma ya matunda ya ugaidi ni mwisho mbaya !, Ova. Siasa za kipuuzi kwa Sasa hatuzitaki! mahakama itatoa majibu tunaendelea kusbl mwisho wa hili Jambo!
 
Mkuu nimeoenda Paragraph ya Mwisho!

Kama ni ya Kubambikiza lawama atazibeba

Natamani Uongee kidogo kama Ni ya Kweli Itakuwaje kwa wanaimtetea?

Mimi hapa Nacheka tuu natamani Kujua ukweli ndio maana sitaki kutetea Au Kuulaumu Upande wowote ili nisije kuumbuka Mbeleni!
Kwa dhati kabisa ya moyo wako wewe unaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi?!
 
Kama ilikuwa lazima mama azungumzie suala la mbowe angesema tu kesi iko mahakamani tuache sheria ifuate mkondo wake lakini maelezo yake ya ziada yamemuweka pabaya mno. Watanzania wanajua mbowe sio gaidi. Mama anachoshindwa kuelewa au wasaidizi wake wa karibu hawampelekei taarifa ni kuwa ana vita vikubwa na team mwendazake na sio kikundi kidogo, mfano kiduchu amemsikia slow slow , Gwaji anauma na kupuliza lkn ukweli ndio team yenyewe, alipaswa kulinda imani ya wananchi wengi waliokuwa wanamuunga mkono alipochukua madaraka , vinginevyo anaingizwa chaka.
 
Nchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Tena wa mitandaoni,ni kama alivyosema Rais kwamba kawaulize wananchi wa kawaida kama shida yao ni Katiba au uhakika wa maisha.

Tena kasema yuko tayari kujadiliana Katiba kama mwanasiasa maana hiyo Katiba ni ya kufaidisha wanasiasa kuliko wewe na mimi.

Ukweli ni kwamba kwani huyo Mbowe na machadema wengine wakiingia madarakani ndio wataongeza ugali mezani kwangu? Jibu ni hapana kwa hiyo upuuzi wao usiwe kero kwa wengine.
 
Back
Top Bottom