Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

Kama kama kama neno hili linatumiwa vibaya kuharalisha vitu visivyo kuwepo na kuchonganisha mamlaka ya Urais kwa Wananchi.
 
Umeshamuuliza mbowe kama hakupanga hiyo njama na kuifadhili?
Kama unahisi anaonewa basi subili mahakama iamue.
 
na watanzania wanaendelea na shughuli zao za
Umesema ukweli dudumizi,mleta andiko asiweke maneno midomoni mwa watanzania,yeye siyo msemaji wao,watanzania Wana uwezo wa kuchambua pumba na chuya za mchele,wanaolalamika Ni wachache wenye uchu wa madaraka na kutaka kuleta fujo nchini.Miaka mitano iliyopita walikaa kimya,hawakukohoa au kuinua midomo Yao,leo wanaanza kuleta chokochoko,nchi isitawalike.Tuwe na Subira,mambo mazuri mama analeta
 
Huu ndio utawala wa sheria uliokuwa ukipiganiwa hapa nchini.......

Kama ambavyo tuliona ni sahihi kwa Sabaya kuwajibika kisheria kwa matendo yake machafu na tukaamua mahakama iamue basi hata hili la Mbowe tuache mahakama ifanye kazi yake........

Kelele, vitisho juu ya kesi hii ya Mbowe ni dalili kuwa hatuamini kile tunachokipigania au hatuna imani na vyombo vya haki hapa nchini......na kama ni hivyo kwanini hatuna imani pale inapotokea amekamatwa kiongozi wa upinzani lakini imani inakuwepo anapokamatwa kiongozi wa CCM.....??

Turudi kwenye siasa za weledi na sio mihemko....
 
Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumamnde kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelegent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake, ''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Huyu ni mtu wa hovyo kabisa watanzania hawana imani naye
 
Wewe unaamini kwa akili yako Mbowe ni gaidi? usimwamini sn huyo bibi yako ni mtu hatari sn amejificha kwenye dini lakini ni shetani mkubwa
 
jifunze kupenda jambo kwa kiasi usipitilize sana wala kumuamini sana mtu kupita kiasi mbowe ni binaadamu sio malaika mahakama itatuwekea wazi vielelezo na endapo ana hataia tutajua endapo hana hatia pia tutajua na tunamuombea mungu sana amnusuru kweli shauri hili
 
Ikiwa siyo kweli utamlipa muda wake? Mbowe ameshitakiwa mara ngapi na kuna kesi amewahi kushitandwa?
 
Nani ana ushawishi na nguvu ya kuitoa ccm madarakani 2025? Ameandaliwa nani? Kina nani wanaweza peperusha bendera ya upinzani na wakawa tishio kwa ccm?
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Huyo Samia hafai, ni rais mfuata upepo, hajui anachofanya, anakosea kosea kila kitu hadi kuwachagua viongozi wake. SAMIA HAFAI, muoga, muongo, hana huruma na watz, arudi Makunduchi.
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Mkuu nimeoenda Paragraph ya Mwisho!

Kama ni ya Kubambikiza lawama atazibeba

Natamani Uongee kidogo kama Ni ya Kweli Itakuwaje kwa wanaimtetea?

Mimi hapa Nacheka tuu natamani Kujua ukweli ndio maana sitaki kutetea Au Kuulaumu Upande wowote ili nisije kuumbuka Mbeleni!
Soma vizuri unaelewa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.

Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.

Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.

Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.

Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Rubbish
 
Kama ilikuwa lazima mama azungumzie suala la mbowe angesema tu kesi iko mahakamani tuache sheria ifuate mkondo wake lakini maelezo yake ya ziada yamemuweka pabaya mno. Watanzania wanajua mbowe sio gaidi. Mama anachoshindwa kuelewa au wasaidizi wake wa karibu hawampelekei taarifa ni kuwa ana vita vikubwa na team mwendazake na sio kikundi kidogo, mfano kiduchu amemsikia slow slow , Gwaji anauma na kupuliza lkn ukweli ndio team yenyewe, alipaswa kulinda imani ya wananchi wengi waliokuwa wanamuunga mkono alipochukua madaraka , vinginevyo anaingizwa chaka.
Siroccm kamdanganya kuwa wapo wapinzani ambao tayari wamehukumiwa wakati siyo kweli
 
jifunze kupenda jambo kwa kiasi usipitilize sana wala kumuamini sana mtu kupita kiasi mbowe ni binaadamu sio malaika mahakama itatuwekea wazi vielelezo na endapo ana hataia tutajua endapo hana hatia pia tutajua na tunamuombea mungu sana amnusuru kweli shauri hili
Mahakamaccm huendeshwa kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM sasa lakini mungu atasimama upande wa chadema waathirika wa manyanyaso uonevu wa CCM na haki itapatikana tu
 
jifunze kupenda jambo kwa kiasi usipitilize sana wala kumuamini sana mtu kupita kiasi mbowe ni binaadamu sio malaika mahakama itatuwekea wazi vielelezo na endapo ana hataia tutajua endapo hana hatia pia tutajua na tunamuombea mungu sana amnusuru kweli shauri hili
Ugaidi ni Polisiccm kwenda saa nane usiku kuwapekua wapinzani kwa njia haramu za kishetani, ukidai katiba mpya unaenda kupekuliwa
 
Back
Top Bottom