kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 773
- 526
Sasa umeandika nini??Nchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Wewe nakuonaga Kama mwehu msomi.Naendelea Kusisitiza kuwa CHADEMA wabadili 'Stragegies' vinginevyo Siku si nyingi watabadilika na kuwa ' labelled Political Terrorist Party' ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Acha Kuwadanganya Watu hapa na Kumtisha Rais Samia Suluhu Hassan juu ya Kukamatwa kwa Mbowe na huenda usichokijua tu ni kwamba kwa Upuuzi mnaoufanya hata hao Marafiki ( Maswahiba ) wenu kutoka Ulaya na Mmarekani nao sasa 'Wamewachoka' ndiyo maana hawawasaidii wala kuwasikilizeni tena.
Labda nikuibie Siri tu kwa faida yako na ya 'Hopeless' wengine ni kwamba Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli CHADEMA mlisikika na hata kupata Msaada na Mataifa makubwa kwakuwa nao pia 'Interests' zao nyingi za Kiuchumi ndani ya Tanzania zilikuwa zimebanwa.
Ujio wa Mama ( Rais ) Samia na hasa hasa Kufungua Anga jipya la Kidiplomasia na Mataifa hayo makubwa, kuruhusu baadhi ya 'interests' zao Kuendelea kumegeuza ghafla fikra zao juu ya Serikali ya Tanzania na sasa wametokea Kumkubali vilivyo ( Rais Samia ) hivyo hawawezi Kukubali Kuwaunga mkono Wapinzani wa Tanzania ili nchi 'ichafuke' kisha 'Economic Interests' zao hapa Tanzania ziyeyuke.
Labda mumtafute Mzee Mpili awaokoe.
Kahaidiwa ubunge baada ya kustaafu ataachaje kuwaridhishaSiro ni kada wa CCM sasa anaitwa siroccm akiwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani
Kama - ni suala la mahakama kuamua kama ambavyo shauri lililopelekwa huko kusikilizwa.Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Kama 'Mamaako' vile.Wewe nakuonaga Kama mwehu msomi.
Kwani Mbowe ana ushawishi gani wa kisiasa uliopindukia kiasi utampunguzia Samia ubora wake?Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Ina maana Magufuli ndio aliye kuwa smart?.Haijawahi tokea Makamu wa raisi kuwa Smart,Rais akifa turudi kwenye uchaguzi tumpate mtu qualified kwa Kazi ya uraisi.
Hakuna mitano tena.
Kirusi cha ugaidi kimejibadili na kipindi hiki kinajivika koti la uanasiasa!Pole,
Watafiti wa nje wameshauri mkiweza make mezani.
Watafiti nje ya nchi yetu wanatekinolojia kubwa kujua Ugaidi duniani.hivyo nilitegemea wangesema wanaongeza nguvu ya intelijensia toka nje.
Mmarekani asikie gaidi halafu awashauri myamalize mezani badala ya kuahidi kuleta msaada wa vifaru.Somo kwako
Mara mbili kaka.... 2025 hatoboi hata kama akibana katiba mpya....CCM wana mkakati hatari.Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Hii ni vita dhidi ya Ukristu, magaidi wote waliachiwa iweje mbowe aitwe gaidi?Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si kuona ndege na madaraja bali ilikuwa ni kuona utawala wa haki, utawala wa sheria unarejea nchini.
Binafsi naona kibali cha Mama ndani ya mioyo ya watanzania kinaporomoka kwa kasi sana, hasa baada ya kuibuka issue ya miamala, machinga kuanza kusumbuliwa bila kusahau bodaboda.
Kama sakata la mbowe ni la kubambikiza basi Mama ajiandae kubeba lawama zote na kibali kidogo kilichobaki kuporomoka zaidi na simuoni akitoboa katika uchaguzi wa muhula wa pili japo tunajua yawezekana si yeye bali ni utashi wa jeshi la polisi lenyewe.
Sakata hili linaweza kuwa ni last nail on the coffin. Ila kama mashtaka ni ya kweli hiyo inabaki kuwa story ya wakati mwingine.
Kwa dhati kabisa ya moyo wako wewe unaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi?!Mkuu nimeoenda Paragraph ya Mwisho!
Kama ni ya Kubambikiza lawama atazibeba
Natamani Uongee kidogo kama Ni ya Kweli Itakuwaje kwa wanaimtetea?
Mimi hapa Nacheka tuu natamani Kujua ukweli ndio maana sitaki kutetea Au Kuulaumu Upande wowote ili nisije kuumbuka Mbeleni!
Tena wa mitandaoni,ni kama alivyosema Rais kwamba kawaulize wananchi wa kawaida kama shida yao ni Katiba au uhakika wa maisha.Nchi hakika ina watu fulaniwachache wanaishi kwenye fikra za tofauti sana. Huyu anaamini kwamba mbowe anaweza geuza mstakabali kisiasa wa samia wakati mbowe hana uungwaji mkono na watanzania isipokua wachache wenye kasumba ya ubwanyenye na ukabila.