Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Nilisema hivi sasa huko mtu kafa vibaya, plan zote zimekufa leo huko 😬Simba anakufa hamsa tusubiri gemu ianze uone watu wanavyoukimbia uwanja leo, Yanga km upo sahihi Ila kwa Simba umepoteza ubashiri