Anhaa! Katika mazingira hayo busara na hekima vinatakiwa vitangulie kabla ya hisia. Japokuwa kibinadamu hisia huwa zinakuwa na nguvu zaidi jambo kama hilo linapotokea.Hapana kiongozi sikumaanisha kufukunyua bali nilimaanisha kuwa ikitokea hali isiyokuwa ya kawaida unagundua hivyo......
Probability hii 50/50Unawalea tena watakuja kukusaidia kwa kutambua wema ulio wafanyia
Wengine huwa wanataka kuwa na baba zao halisi so huwa wanasepa.Unawalea tena watakuja kukusaidia kwa kutambua wema ulio wafanyia
Ivi mnaona mtu akifika miaka 50 ndyo kamaliza kila kitu acheni utoto jmn mtu miaka 50 anaweza fanya lolote na likafanikiwa kiufanisi kabisa tena Kwa mwanaume ndyo kabisa linawezekana kuuzaa mtoto, kuowa kusoma, na kuanzisha maisha upya kama umefilisika au kutoka jela wastaafu wengi wanateseka na maisha sababu wanaisi kuwa washazeeka kwaiyo wanatumbua pesa Tu zikiisha wanabaki kuangaika Tu umri siyo kigezo cha kujiuwa mwenyewe manaa akisema avumilie sababu umri umeenda inamaana kuwa ajiuuwe Kwa msongo WA mawazo mwenyewe kuanza upya si ujingaInategemea nahaya.
[emoji117]Umri wako Mwanaume.
[emoji117]Uwezo wako wa kuzalisha.
Ikiwa Umri umeenda sana yaan mtoto wa mwisho yupo lasaba huko...Kausha ..... Hapa kuanza Upya ni sawa na UJINGA ,ukizingatia hao watoto wangekua wakijua wewe ni Baba.
Ikiwa ndo kwanza una 25--35 ,ACHANA NAYE.
Ikiwa umri umeenda au hujaenda lakini Unajijua huzalishi, hujawah kua hata na wkausingiziwa,zaidi ya yote umezunguka sana nakila mahal unaambiwa huwez kuzalisha ......Kausha tu, Mkeo kaamua kukufichia aibu , nakama mkeo alikua unaenda kujitegesha, na hawaambii wanaomtunga mimba kua nizao.
Wee Kausha tu , Lea ,watoto wakutambue kama baba...
HATA IVO, KATIKA UAMUZI WOWOTE ULE, WEE CHAGUA AMBAO UNAKUPENDELEA WEWE, UNAOKUPA FAIDA KWANZA WEWE, ALAFU WATOTO. WAMWISHO AWE MWANAMKE.
Uwe na roho ngumu sana,ndo utaweza fanya ulichoshauri hapa.Kabla ya kujifundisha kupenda tunatakiwa tujifundishe kumiliki hisia zetu endapo tutasalitiwa kwa sababu usaliti ni jambo linaweza kumkuta mtu yeyote.
Ukishtuka mtoto sio wako mkuu kaa na mkeo kwa peace tu na mpyo safi umuulize mwenye mtoto ni nani,
akishakuambia muonane na mwenye mtoto mzungumze umuulize kwamba ana mipango gani juu ya hao watoto,mwambie wewe hutaki hawa watoto wapate tabuu kwa sababu kila mtoto huja duniani kwa namna yake.
Mtakachokubaliana wewe utaangalia kama kina maslahi na wewe au laa ila hakikisha hauchukui maamuzi yoyote yale ya kumuumiza mama au mtoto.
Hakuna kisasi utakacholiipa kikaendana na thamani uliyoonesha ya kuwajali na kuwalea watoto hao,hivyo hata ukimfanyia ubaya mkeo au mtoto bado hadhi ya wema wako kwa watoto utabaki pale pale na itabaki vile vile kwamba uliwapa thamani watoto ambao sio wako,
sasa kuendeleza thamani hiyo hakikisha hii hali unaihandle vizuri kuonesha kwamba sio tu kwamba unawathamini wanao tu bali hata wasiokuwa wanao kama hao watoto na wengineo uwezo wa kuwathamini unao sana tu.
Thamani ya maisha sio kulipa kisasi kwa waliokukosea,bali ni kusamehe waliokukosea
Dawa ya moto ni motoToo bad man, too bad, usifanye hivyo!
Na wewe una mpango gani na huyo mtoto.....??
Unajisikiaje mkuu?
Kwani huwezi kucomment bila kutumia hayo maneno magumu (pesmisim)??Mi sio mwanamke mpumbavu kufikia kufanya huo unyama
Unataka Nini? Umenitag kwa kiherehere chako mwenyeweKwani huwezi kucomment bila kutumia hayo maneno magumu (pesmisim)??
#YNWA
Kama hupendi ku "tagiwa" ili kuwa iwe ""Si umenitag mwenyewe, acha kunitag""Unataka Nini? Umenitag kwa kiherehere chako mwenyewe
""Mi sio mwanamke wa kufikia kufanya huo unyama""Mi sio mwanamke mpumbavu kufikia kufanya huo unyama
Ndo uache shobo na Mimi, usiwe unanitag wala kuniquote usijifanye mwema saaaana, mada iko bayana inawahusu wanaume, umenitag ili iweje,, hanijui hatuna urafiki Wala mazoea ya kimwandiko humu, hebu nikomeKama hupendi ku "tagiwa" ili kuwa iwe ""Si umenitag mwenyewe, acha kunitag""
Learn to be politely madam.
Unaweza ukamwambia mtu asikutag ila Kwa maneno ya kawaida kabisa akaelewa.
Huna haja ya kuwa so Pesimism.
Kulikuwa Kuna haja ya kutumia neno kiherehere hapo?
#YNWA
Usinifundishe kuandika najibu navyotaka Mimi sio unavyotaka wewe,,""Mi sio mwanamke wa kufikia kufanya huo unyama""
It could be also a so optimistic and good answer.
PESIMISM halipi kabisaaaa
#YNWA