Utachukua hatua gani ukigundua watoto unaolea siyo wa kwako?

Utachukua hatua gani ukigundua watoto unaolea siyo wa kwako?

Hapana kiongozi sikumaanisha kufukunyua bali nilimaanisha kuwa ikitokea hali isiyokuwa ya kawaida unagundua hivyo......
Anhaa! Katika mazingira hayo busara na hekima vinatakiwa vitangulie kabla ya hisia. Japokuwa kibinadamu hisia huwa zinakuwa na nguvu zaidi jambo kama hilo linapotokea.
 
Inategemea nahaya.

[emoji117]Umri wako Mwanaume.

[emoji117]Uwezo wako wa kuzalisha.


Ikiwa Umri umeenda sana yaan mtoto wa mwisho yupo lasaba huko...Kausha ..... Hapa kuanza Upya ni sawa na UJINGA ,ukizingatia hao watoto wangekua wakijua wewe ni Baba.


Ikiwa ndo kwanza una 25--35 ,ACHANA NAYE.

Ikiwa umri umeenda au hujaenda lakini Unajijua huzalishi, hujawah kua hata na wkausingiziwa,zaidi ya yote umezunguka sana nakila mahal unaambiwa huwez kuzalisha ......Kausha tu, Mkeo kaamua kukufichia aibu , nakama mkeo alikua unaenda kujitegesha, na hawaambii wanaomtunga mimba kua nizao.

Wee Kausha tu , Lea ,watoto wakutambue kama baba...



HATA IVO, KATIKA UAMUZI WOWOTE ULE, WEE CHAGUA AMBAO UNAKUPENDELEA WEWE, UNAOKUPA FAIDA KWANZA WEWE, ALAFU WATOTO. WAMWISHO AWE MWANAMKE.
Ivi mnaona mtu akifika miaka 50 ndyo kamaliza kila kitu acheni utoto jmn mtu miaka 50 anaweza fanya lolote na likafanikiwa kiufanisi kabisa tena Kwa mwanaume ndyo kabisa linawezekana kuuzaa mtoto, kuowa kusoma, na kuanzisha maisha upya kama umefilisika au kutoka jela wastaafu wengi wanateseka na maisha sababu wanaisi kuwa washazeeka kwaiyo wanatumbua pesa Tu zikiisha wanabaki kuangaika Tu umri siyo kigezo cha kujiuwa mwenyewe manaa akisema avumilie sababu umri umeenda inamaana kuwa ajiuuwe Kwa msongo WA mawazo mwenyewe kuanza upya si ujinga
 
Inabidi uvumilie kama ambavyo Wanawake wanavumilia wanapoletewa Watoto wa nje ya Ndoa zao.
 
Shida sio kuvumilia unaweza ukavumilia huko mbeleni baadae mtoto wakapiga story na mama yake akamwambia ukweli kama ww sio baba yake...au umegombana na mama yake kidogo akaanza kumlisha maneno mtoto..

Unalea mtoto angalikuwa baba yake mzima wa afya.. mwisho wa siku mtoto anamtafuta baba yake wewe unaonekana useless
 
Kabla ya kujifundisha kupenda tunatakiwa tujifundishe kumiliki hisia zetu endapo tutasalitiwa kwa sababu usaliti ni jambo linaweza kumkuta mtu yeyote.

Ukishtuka mtoto sio wako mkuu kaa na mkeo kwa peace tu na mpyo safi umuulize mwenye mtoto ni nani,

akishakuambia muonane na mwenye mtoto mzungumze umuulize kwamba ana mipango gani juu ya hao watoto,mwambie wewe hutaki hawa watoto wapate tabuu kwa sababu kila mtoto huja duniani kwa namna yake.

Mtakachokubaliana wewe utaangalia kama kina maslahi na wewe au laa ila hakikisha hauchukui maamuzi yoyote yale ya kumuumiza mama au mtoto.

Hakuna kisasi utakacholiipa kikaendana na thamani uliyoonesha ya kuwajali na kuwalea watoto hao,hivyo hata ukimfanyia ubaya mkeo au mtoto bado hadhi ya wema wako kwa watoto utabaki pale pale na itabaki vile vile kwamba uliwapa thamani watoto ambao sio wako,

sasa kuendeleza thamani hiyo hakikisha hii hali unaihandle vizuri kuonesha kwamba sio tu kwamba unawathamini wanao tu bali hata wasiokuwa wanao kama hao watoto na wengineo uwezo wa kuwathamini unao sana tu.

Thamani ya maisha sio kulipa kisasi kwa waliokukosea,bali ni kusamehe waliokukosea
Uwe na roho ngumu sana,ndo utaweza fanya ulichoshauri hapa.
 
We njoo udai mtoto wako kudadeki zake ndo utajua hatua gani zinafuata.
 
Na wewe una mpango gani na huyo mtoto.....??

Mpango wangu ni kuhakikisha mtoto anafahamu upande wake sahihi lakini hii yote lazima mama yake ashiriki kikamilifu sana.
Na sitaki kutengeneza vita au kuondoa amani katika maisha yetu sote.
 
Unajisikiaje mkuu?

Feel bad sana...coz sikuwai kuikataa hiyo mimba wala kushirikishwa kuwa ni yangu,nafikiri kutokana na kutofautiana kipato na mwanaume mwenzangu.

Mwanamke aliangalia sehemu ambayo atapata maisha zaidi na ukizingatia alikuwa na mm wakati yupo tayari ni yule mtu.
 
Noelia
Hebu njoo u comment hapa...
Ikitokea umempa mumeo watoto sio wake UTAHITAJI AFANYAJE?

🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

#YNWA
 
Unataka Nini? Umenitag kwa kiherehere chako mwenyewe
Kama hupendi ku "tagiwa" ili kuwa iwe ""Si umenitag mwenyewe, acha kunitag""

Learn to be politely madam.
Unaweza ukamwambia mtu asikutag ila Kwa maneno ya kawaida kabisa akaelewa.

Huna haja ya kuwa so Pesimism.

Kulikuwa Kuna haja ya kutumia neno kiherehere hapo?

#YNWA
 
Mi sio mwanamke mpumbavu kufikia kufanya huo unyama
""Mi sio mwanamke wa kufikia kufanya huo unyama""

It could be also a so optimistic and good answer.

PESIMISM halipi kabisaaaa

#YNWA
 
Kama hupendi ku "tagiwa" ili kuwa iwe ""Si umenitag mwenyewe, acha kunitag""

Learn to be politely madam.
Unaweza ukamwambia mtu asikutag ila Kwa maneno ya kawaida kabisa akaelewa.

Huna haja ya kuwa so Pesimism.

Kulikuwa Kuna haja ya kutumia neno kiherehere hapo?

#YNWA
Ndo uache shobo na Mimi, usiwe unanitag wala kuniquote usijifanye mwema saaaana, mada iko bayana inawahusu wanaume, umenitag ili iweje,, hanijui hatuna urafiki Wala mazoea ya kimwandiko humu, hebu nikome
 
""Mi sio mwanamke wa kufikia kufanya huo unyama""

It could be also a so optimistic and good answer.

PESIMISM halipi kabisaaaa

#YNWA
Usinifundishe kuandika najibu navyotaka Mimi sio unavyotaka wewe,,

Kwa msisitizo tu punguza shobo na hii ID ya Noelia, nitakujibu nitakavyo mpk utakapoacha kunifata fata
 
Back
Top Bottom