Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #101
hao walikuwa na mikakati mikali, ila wamefanana na huyu wa kusingiziwa utadhani wake.Huyo wa kwanza kushoto ni wa mkewe kwa mme wake wa kwanza.In short watoto hao wote watatu baba yao ni mmoja.Ni x mme wa huyo mdada.
Ng'ombe wangapi?Kama ni Mmasai unalipwa fidia ya ng'ombe wote wanakua wako. Kwisha kazi.
Sina uhakaika, natumai kuna wamasai humu watakuja kusema.Ng'ombe wangapi?
Naomba yasinikuteUtafanyaje🤔utalea tena? Watoto wa zamani wangeheshimu lkn wa siku hz ZiVu zikianza kuota anakuvimbia kisa yy sio bao lako!
Kuna jamaang alilea tangu ikiwa mimba hadi mtoto anafikisha miaka saba ndo anajua sio mtoto wake akakata tu mawasiliano na kuachana rasmi na demu
😂 utaozea jela mkuuNavichinja na mama yao.
ila ni compensation nzuri inatoa unafuu kwa mhanga.Sina uhakaika, natumai kuna wamasai humu watakuja kusema.
Hamna au navipandisha boti naenda kuvizamisha katikati ya bahari na mama yao nasema ilipata ajali wao wakawa hawajui kuogolea😂 utaozea jela mkuu
watoto hawana kosa kuwaua ni kuwakatili.Ni sahihi kabisa, nitatafuta uchawi popote pale unapouzwa.. Na-kill mmoja mmoja... Ili Mama yao asikie maumivu Zaidi yeye atakuwa wa mwisho kung'atishwa shuka.
ila watoto hawana kosa.Hamna au navipandisha boti naenda kuvizamisha katikati ya bahari na mama yao nasema ilipata ajali wao wakawa hawajui kuogolea
Kwan unamjua kwasura huyo baba yao halisiaMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Mkuu angalia vizuri pua zao zipo tofauti kabisaa na pua ya mshua wao pamoja na huyo brother yao.Mbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Hata kama ni muhindi na wewe ni cheusi tii? Inategemea na uhalisia.Mkeo akikuambia mtoto ni wako ni wako
Tatizo mwanamke alishaanza dharau na migogoro mingine isiyoisha kwahiyo kuendelea kuishi nae bado ni mtihani mgumu.Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
Sio rahisi kwani ye hana uwezo wa kuzalisha?kwa upande wangu ntaongea na huyo mke wangu ili hiyo siri isitoke,tulee watoto basi
😂 naona watu wengi kukubali kusamehe ni ngumu.Angemsamehe tuuu.
Natania😎
Kama alikubali mwenyewe ni halali.hapo kwenye previous husband hapo,ndio ajifunze, kumbe alipora mke wa mtu.
Mwanamke alikuwa na mipango yake na akaitekeleza. Ni mshenzi sana nawaonea huruma hao watoto.Huyu mwanamke ni shetani kweli, watoto hata hawafanani na yeye mwenyewe wala Jeremy.
Ni kweli ila usaliti haufaiKitanda hakizai haramu