Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Utafanyaje🤔utalea tena? Watoto wa zamani wangeheshimu lkn wa siku hz ZiVu zikianza kuota anakuvimbia kisa yy sio bao lako!

Kuna jamaang alilea tangu ikiwa mimba hadi mtoto anafikisha miaka saba ndo anajua sio mtoto wake akakata tu mawasiliano na kuachana rasmi na demu
Naomba yasinikute
 
Mkeo akikuambia mtoto ni wako ni wako
Hata kama ni muhindi na wewe ni cheusi tii? Inategemea na uhalisia.
Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
Tatizo mwanamke alishaanza dharau na migogoro mingine isiyoisha kwahiyo kuendelea kuishi nae bado ni mtihani mgumu.
 
Back
Top Bottom