Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Amefanya kitu cha kijinga!... Kuachana na mkewe Kisa watoto si wake,

Kwenye maisha kitu cha muhimu na cha msingi ni familia,

Haijalishi watoto umewazaa wewe ama wamezaliwa nje,

Mtoto hata kama hukumzaa wewe ukimpa malezi mazuri...

Ata-kua akikuheshimu na kukujali zaidi hata ya mzazi wake halali!

Kwetu wakurya tunaamini kitanda hakizai haramu... Tunaamini katika kukuza familia iwe kubwa!...

Hata nikikulipia MAHARI nikakuoa ukiwa na watoto wa5......wote hao kimila na desturi zetu moja kwa moja wanakuwa ni watoto wangu....

na wananiheshimu kama baba yao mpaka wanakufa! Na hawahami ukoo!

Kwenye haya maisha toto lako mwenyewe ulilolikojoa linaweza lisikujali hata kidogo!

Tujifunze kukusanya familia kwa ustawi wetu wa maisha baada ya sisi kutoweka, na sio kutapanya familia( kufarakana)
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Wewe una uhakika ni mtoto wa babako? Mzazi halisi ni mama tu wanaume sisi ni walezi, lea maisha yaendelee. Mbona watu wanachukuwa watoto na kuwalea na kila kitu kiko sawa tu. Ukiangalia mwanamke hapo hana hasara ameshamlelea watoto kwa asilimia 70, 30 iliyobaki atamalizia tu.
 
Mimi ni mzee wangu mtupu hata sina hofu.
 
Amefanya kitu cha kijinga!... Kuachana na mkewe Kisa watoto si wake,

Kwenye maisha kitu cha muhimu na cha msingi ni familia,

Haijalishi watoto umewazaa wewe ama wamezaliwa nje,

Mtoto hata kama hukumzaa wewe ukimpa malezi mazuri...

Ata-kua akikuheshimu na kukujali zaidi hata ya mzazi wake halali!

Kwetu wakurya tunaamini kitanda hakizai haramu... Tunaamini katika kukuza familia iwe kubwa!...

Hata nikikulipia MAHARI nikakuoa ukiwa na watoto wa5......wote hao kimila na desturi zetu moja kwa moja wanakuwa ni watoto wangu....

na wananiheshimu kama baba yao mpaka wanakufa! Na hawahami ukoo!

Kwenye haya maisha toto lako mwenyewe ulilolikojoa linaweza lisikujali hata kidogo!

Tujifunze kukusanya familia kwa ustawi wetu wa maisha baada ya sisi kutoweka, na sio kutapanya familia( kufarakana)
Tatizo mwanamke alikuwa akimdharau tena hadi mbele ya watoto.
 
Jamaa fala sana, utaoaje singo Maza?.

Kuna singo Maza wengine washahapa kuzaa na mwanamme mmoja tuu.

Ukimuoa ujue, watoto wote atakaozaa ni wa mwanamme wa kwanza.
Penzi likiwa jipya huwa linaficha mianya yote ya mambo yanayowezekana kutokea.
 
Ndio faida/hasara za kuwa well-off, mwanamke hakupendi lakini anakuja kwako kwa ajili ya vipande vya fedha.

Hata sijui ningefanyaje
ila wanawake ni hatari sana, alijua fika anachokifanya.
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Kama wote si wakwangu nitabidi nikacheki afya yangu kama naweza kuzalisha,kama naweza natafuta mwanamke na kuanzisha familia ingine kimyakimya ikikaa vizur naamia uko unnoticed
 
Kama huna uwezo wa kuzalisha utafanya nini?
 
Back
Top Bottom