Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

Watu kama hao ukiwagundua unawatumbua alafu unawafilisi... Kiufupi alichokuwa anafanya JPM ndo kinawapasa.
 
Watu kama hao ukiwagundua unawatumbua alafu unawafilisi... Kiufupi alichokuwa anafanya JPM ndo kinawapasa.
Hakuna njia nyingine ya kudeal nao kisheria? Maana yale ni mabavu, mimi na wewe mabavu hayo hatuna! Asipokuwepo mtu kama Magu, ina maana hawawezi kushughulikiwa?
 
Hakuna njia nyingine ya kudeal nao kisheria? Maana yale ni mabavu, mimi na wewe mabavu hayo hatuna! Asipokuwepo mtu kama Magu, ina maana hawawezi kushughulikiwa?
kila mtu na njia zake mzee, ila kwa mtu mweusi ili akuelewe vizuri inabidi ukipiga unapiga kweli tena pale kwenye mshono.... Mabavu ndo yanapaswa kwa watu wasio wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…