Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu sana watu na familia zao hawalali kuogopa maisha yao kiss wamekukosoa hili sio jambo LA sifaMungu mbariki Dr Shule
haisaidii wala haibadili ukweliKama ni mwalimu wa chuo inabidi aanze kuwaza ile biashara yake ya mchicha, hachukui wiki hapo amuulize nondo!
Maneno ya kutia moyo kama haya ndio yanayotakiwa, ingawa wengi tushangaa ujasiri wa huyu Mwalimu hasa kipindi hiki, ila pia tunatakiwa tumpe moyo kwa ujasiri huu wa kipekee.Mungu mbariki Dr Shule
Mbwa mkubwa weweanatafuta kiki kwa piki piki.
teh teh ee.. Alipata wadhamini wawili wakazi wa iringa na mfanyakazi wa serikali wote watatu wakasaini bond ya mil 5 jamaa akawa huru ila kesi yake bado haijaisha!Aisee yupo uraiani kama Mwigulu Nchemba? Kweli Mungu hanywi chai!
Tusisikie ameuawa tu , maana kila anayekosoa hawi salama , Hivi sasa viongozi wa TWAWEZA wanaishi mapangoni !Maneno ya kutia moyo kama haya ndio yanayotakiwa, ingawa wengi tushangaa ujasiri wa huyu Mwalimu hasa kipindi hiki, ila pia tunatakiwa tumpe moyo kwa ujasiri huu wa kipekee.
ufipa ndio wakina nani?Sitashangaa UFIPA wakimteka na kusingizia serikali inahusika
Yakitokea haya dunia isikae kimya itakuwa too much sasaBaada ya muda atatumbuliwa
Kwanzia leo mpaka mwezi wa 8 mwishoni ata trend
Mwezi wa9>>>> 2019 tushamsahau
HASARA KWA NANI?