msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,141
Kama ni mwalimu wa chuo inabidi aanze kuwaza ile biashara yake ya mchicha, hachukui wiki hapo amuulize nondo!
Kaa na fikra zako mgando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mwalimu wa chuo inabidi aanze kuwaza ile biashara yake ya mchicha, hachukui wiki hapo amuulize nondo!
Hata mitaani nyoka wamejaa tele! Wakisikia jina magufuli wanainua masikio kama popo!Wangapi watamwelewa Dr. Hata wakimwelewa je, nani ana uthubutu kama wake? Nyoka zimetamalaki vyuoni.
Tuanze maisha kama ya miaka ya sabini tulivyokuwa tunaangalia huku na kule kabla ya kuongea. Tumerudi kule kule. Wa wakati huo walikuwa hawaui wala kupotezea ila kulikuwa na vizuizi wengine waliwekwa vizuizi vya ndani kama Tuntememke Sanga.Hata mitaani nyoka wamejaa tele! Wakisikia jina magufuli wanainua masikio kama popo!
mkuu, nondo alisimamishwa kama sio kufukuzwa mpaka kesi inaemkabili ya kujiteka itakapomalizika! Sasa hivi nadhani atakua uraiani na sio chuo!Hivi Nondo yuko wapi mkuu hebu nipe dondoo maana sijamsikia kitambo
Maneno hayo aliyasema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam Dr. Vincensia Shule
ndio nimeshazisema sasa! Na wewe toa mawazo yako, na sio kukalia maneno kama madada wa saloon!Kaa na fikra zako mgando
In Tundu Lissu's voiceNaamini kuwa kwa hii serikali ya Dikteta John Pombe Magufuli huyu dada hana chake tena kwenye hiyo ajira na baada ya hapo atatiwa misukosuko sana. Ila tunahitaji wajasiri zaidi ili kuupinga huu udikteta ulioshamiri sasa ndani ya nchi yetu! Tuupinge Udikteta wa John Pombe Magufuli kwa nguvu zetu zote!
Aisee yupo uraiani kama Mwigulu Nchemba? Kweli Mungu hanywi chai!mkuu, nondo alisimamishwa kama sio kufukuzwa mpaka kesi inaemkabili ya kujiteka itakapomalizika! Sasa hivi nadhani atakua uraiani na sio chuo!
mkuu watu tunampongeza ila tunashangaa alivyo hasomi nyakati!Sasa hapo mnapa sapoti kwa ujasili wake au mnamtisha na kumkatisha tamaa?
Maneno hayo aliyasema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam Dr. Vincensia Shule