UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Inawezekana wakati anachangio hiyo mada alikuwa ameshatupia bia kichwani maana na sikia eti Dr. Vincensia Shule anapenda sana "beer"

Kuikosoa hii "Sirikali" ni kama kuukumbatia moto. Hata siku moja huwezi kuukumbatia moto kifuani na usiungue, huyu Dr. ajiandae tu kisaikolojia maana lolote laweza kumkuta.
 
Back
Top Bottom