UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Wastaafu wanalia hawajalipwa posho zao nilikuwa naangalia clouds habari, haya mahaba yataendelea kuwepo kweli hata kama ipo 55 asilimia?
 
Mkuu mapishi yao bado yanaendelea?

Wale wanaowatumia kupika data wameamua kuwachulia hatua baada ya kurushana kwenye ile deal ya jamaa kukubalika kwa 96%. Sasa jamaa nao wameamua kutoa 55% japo ukweli kabisa ni chini ya 30%. Sasa hao walevi wa madaraka kwa kuwa wanajua huwa wanapika data ndio wameamua kutumia sheria zenye nia ovu kuwakomoa.
 
Ha ha ha ....kwa hiyo ni sahihi kabisa kimaadili kisheria n.k kwa Twaweza kuchukuliwa hatua.
Hapa si unaongelea upikaji data?
 
Wafurukutwa wengi wamejikitakwenye Taifa ya kushuka umaarufu wa JPM, wamefunika macho na masikio juu ya ripoti ya kuporomoka kwa karibu 50% umaarufu wa Chadema, kuporomoka kwa uaminifu kwa wabunge wa upinzani ambao Lema sasa ameamua kuutilia mashaka.
 
Ha ha ha ....kwa hiyo ni sahihi kabisa kimaadili kisheria n.k kwa Twaweza kuchukuliwa hatua.
Hapa si unaongelea upikaji data?

Wachukuliwe hatua kali kwani hao wanaowachukulia wanajua jinsi walivyowatumia kupika data. Hii itakuwa funzo baadae wasitumike na watawala kupika data za kuwabeba, kwani siku wakija na data za ukweli zisizowabeba watatumia hizi sheria mbovu kuwakomoa.
 
We mtu hata familia yake hamkubali, halafu sisi wananchi ndio tumkubali kwa kiwango, hiki.
Yaani familia yake wakipiga kura ya siri nasema lazima a patent ziro, sasa huko bungeni ndio sisemi kabisa, na ndio maana anaweza mkakati ya kutaka kugombea bila kupingwa ingekuwa amrita yake angefanya kama enzi za mchonga na mwinyi, unagombea na kivuli lakini bado kivuli kinashinda
 
Uko sahihi Jiwe ana kura1 tu ya Bashite na misukule isiojitambua
 
Je kuna mtu yeyote aliyehojiwa atuthibitishie kwa dodoso hapa?
 
55% kwa Jiwe kukubalika ni mingi sana.Mimi nilifikiri ingekuwa chini ya 25%!
 
Back
Top Bottom