mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
Wakishateuliwa huwa wanabadilika hao..Dr. yupo vizuri sana,anatendea haki PhD yake.
Bravo Dr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishateuliwa huwa wanabadilika hao..Dr. yupo vizuri sana,anatendea haki PhD yake.
Bravo Dr.
Maneno hayo aliyasema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam Dr. Vincensia Shule
Yes, ubunge wa kuteuliwa na Chadema.Sitashangaa UFIPA wakimteka na kusingizia serikali inahusika
Hii ni jumuiya gani nchi hii!?
Ile inayoteka na kuua watu, iliyomimina risasi kwa TLHii ni jumuiya gani nchi hii!?
Kilimanjaro kuna nn?Kilimanjaro huyo sishangai alichosema
Kama ni hivyo...basi kuna makosa sehemu fulani kwenye hoja, maan hao hawawezi kuwekwa kundi moja na na Taasisi nyingine alizozitaja mleta mada.Ile inayoteka na kuua watu, iliyomimina risasi kwa TL
ndio nimeshazisema sasa! Na wewe toa mawazo yako, na sio kukalia maneno kama madada wa saloon!
wewe ni hasara! Ni bora Wazazi wangepiga punyeto kuliko kuzaliwa kiumbe kama wewe!We bibi kaa na akili zako za kuvukia barabara. Zinakutosha wewe na wajukuu zako, you deserve nothing from me!
wewe ni hasara! Ni bora Wazazi wangepiga punyeto kuliko kuzaliwa kiumbe kama wewe!
asante sana mkuuKutoka maktaba maarufu nchini ya JamiiForums, tujikumbushe.
asante sana mkuu
Ujinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambuaWazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
Kwanza tunshika akauntiWazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).