BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Buku 7 hawa, wapuuzi hawa ni tatizo kubwa sana Nchi hii.
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
Wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
View attachment 1543983