UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Ujinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambua
Wewe achana na hizo tafiti hewa. Hizo kila kipindi cha uchaguzi uandaliwa ili kushusha tension na ili tume iweze massage results. Second term ya JK ziliwekwa na bado Slaa alishinda. First term ya jiwe hivyo hivyo na bado mamvi akashinda
 
Nadhani mazwazwa ndio wanaunga mkono upinzani, kwa kigezo kimoja tu demokrasia ndani ya vyama iko vizuri zaidi CCM kuliko vyama vingine, na vipo vingine mpaka leo ni vyama mtu
tafiti hujibiwa kwa tafiti.
 
Wewe huoni comments za viherehere mataga wanywa maji ya Bendera ya kijani kibichi ,wana hoja za ajabu sana ,vBarbarosa , Kawe Johnthebabtist , Alumni , Yehodaya ,Stroke , hao ni kwa uchache huo ndio mfano wakilishi wa wapenzi wa CCM.
 
Tatu tunaangalia ushirikiano na mabeberu
Siku yakiwachoma sindano za tako ndo mtajua ubaya nabuzuri wao,
Mabeberu inatakiwa tusimame wima na yenyewe na sio kuyainamia.
 
inshort Mazwazwa ndiyo wanaunga mkono CCM
Ni kweli
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
Mtaji wa CCM ni ujinga wa wananchi(wasio na elimu) Singida, Dodoma, Morogoro, Tabora, Kigoma, Rukwa, Katavi, Shinyanga, Simiyu, Geita, Pwani, Songwe, Njombe, Lindi, Ruvuma, Mtwara na Tanga.
They are too late to be recognised
 
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
Wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).

View attachment 1543983
So in other words vijana wasiojielewa ndio wanashabikia saccos , ambao sasa hivi baada ya uchaguzi wa 2015 wamebadilika sasa no more kupiga deki barabara
 
Kwa haraka haraka tu inakadiriwa wanawake ni wengi kuiko wanaume.
Kwa utafii huu CCM wana nafasi kubwa ya kushinda tena uraisi.
Takwimu zinaonyesha difference ya 29.02 kwa 28.92 tu hivyo men/ women ratio siyo kubwa kihivyo. (Kwa mujibu wa mtandao statista).

Kitu cha kufurahisha zaidi kwa upinzani voters wao age range ni 15-64 ambao ni almost 52%.

Hivyo uchaguzi huu siyo friendly sana kwa ccm sababu more than 70% voters wamekulia katika vyama vingi.

Bahati utafiti huo wa TWAWEZA haujaweka age range waliyoitumia tungrweza kufanya projection.
 
Sibishi kwani iko wazi kuwa watu wasiojielewa ndio wanaishabikia ccm pekee. wajanja wako kile chama dume.
Wajanja hatuna chama. Tunapigia kura mtu na siyo chama. Sema katika kumpigia kura huyo mtu chama chake kinafaidika as ni lazima mgombea awe mwanachama cha siasa.
 
Back
Top Bottom