UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Maneno hayo aliyasema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam Dr. Vincensia Shule

Amepata nafasi ya kukosoa bila bugudha,

Hivi mnaisema mkuu hataki kukosolewa huwa msingi wake ni upi?
 
Ile inayoteka na kuua watu, iliyomimina risasi kwa TL
Kama ni hivyo...basi kuna makosa sehemu fulani kwenye hoja, maan hao hawawezi kuwekwa kundi moja na na Taasisi nyingine alizozitaja mleta mada.
 
ndio nimeshazisema sasa! Na wewe toa mawazo yako, na sio kukalia maneno kama madada wa saloon!

We bibi kaa na akili zako za kuvukia barabara. Zinakutosha wewe na wajukuu zako, you deserve nothing from me!
 
wewe ni hasara! Ni bora Wazazi wangepiga punyeto kuliko kuzaliwa kiumbe kama wewe!

Kama wewe walivyopiga punyeto ukaziliwa kituko km wewe! Akili za kushikiwa zinaweza kushindana na akili za kuzaliwa kweli? ? ?
 
Mzee bada ya kuona ameanguka hadi 20% kaanza sarakasi za kuombwa msamaha
 
Karibu sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 TWAWEZA wangefanya tena tathmini yao ya umaarufu wa bugiri nchini labda wangekuta 30% au hata below 30% na bugiri na vikaragosi vyake wanalijua hilo. Sasa wameanza kununua mahasidi wa bugiri ndani ya ccm kwa kuwaahidi vyeo baada ya uchaguzi wa 2020. Bugiri anawaita Ikulu kwa kisingizio kwamba wameenda kumuomba samahani kumbe ANAWANUNUA kiaina.

Ngoja tuone huo msururu wa watakaokwenda Ikulu “KUMUOMBA SAMAHANI” bugiri. Who is next?

asante sana mkuu
 
Muheshimiwa akikmilisha SGR kabla uachaguzi atapewa kura nyingi sana.
Tanzania itakua kwenye level tofauti.
Amefaulu pakubwa kupunguza ufisadi, kazi iliyobaki ni kukamilisha miradi mikubwa na muhimu aliyoanzisha.
 
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
Wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).

IMG_20200821_113304.jpg
 
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
Ujinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambua
 
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
Kwanza tunshika akaunti
 
Back
Top Bottom