UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Kwasababu hii takwimu sio kinzani na mwenye nguvu, basi hatutarajii kusikia TWAWEZA wakiwajibishwa kwa kos la kutoa takwimu za nchi
 
Hiyo asilimia imepatikanaje? Hao wazee ni wangapi na sampling zimechukuliwa wapi? /isije kuwa ni kutoka Kolomije?
Mimi baba yangu ana miaka 78 anakaa Masaki amesema hawezi kumchagua Gwajima bora awape Chadema kura.
 
Hiyo asilimia imepatikanaje? Hao wazee ni wangapi na sampling zimechukuliwa wapi? /isije kuwa ni kutoka Kolomije?
Mimi baba yangu ana miaka 78 anakaa Masaki amesema hawezi kumchagua Gwajima bora awape Chadema kura.
Nenda ofisi za twaweza watakusaidia kuelewa
 
Yaani wewe acha tu.Simiyu enzi hizo hawakusita kumpigia John Cheyo kura. Ila hiyo ilikuwa ni Bariadi tu na vile aliwaahidi kuwajaza mapesa.
1995 Mrema Alibeba kura nyingi kanda ya ziwa kuliko Mzee Mkapa.

2010 Dr Slaa ndiko alikopatia kura nyingi na kupata wabunge 6 kutoka kanda hiyo tena simiyu ilitoa wabunge 3

Hivyo hiyo kanda ina objective voters kuliko kanda yoyote.
 
Kura za TLP tu pekeyake zinampa ushindi wa kishindo JPM.bado tena kuna watu wapo vyama vingine vya upinzani lakinimema ya JPM wanayakubali na watampa kura wakiwa hukouko ACT,CDM.
 
I will convince my community both educated and uneducated to cast their votes on kwa TAL
 
Twaweza wanaandika huku wamewekewa mtutu kichwani🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…