Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Wewe achana na hizo tafiti hewa. Hizo kila kipindi cha uchaguzi uandaliwa ili kushusha tension na ili tume iweze massage results. Second term ya JK ziliwekwa na bado Slaa alishinda. First term ya jiwe hivyo hivyo na bado mamvi akashindaUjinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambua
tafiti hujibiwa kwa tafiti.Nadhani mazwazwa ndio wanaunga mkono upinzani, kwa kigezo kimoja tu demokrasia ndani ya vyama iko vizuri zaidi CCM kuliko vyama vingine, na vipo vingine mpaka leo ni vyama mtu
Siku yakiwachoma sindano za tako ndo mtajua ubaya nabuzuri wao,Tatu tunaangalia ushirikiano na mabeberu
Ni kweliinshort Mazwazwa ndiyo wanaunga mkono CCM
Very true. Yaani kwa CCM chama cha Nyerere mpigania uhuru,hauwaambii kitu.
Na wewe upo kundi la illiterate?Asilimia 66 halafu watu wanawaza kushinda tunasubiri tu jembe magufuli aapishwe Viva CCM Viva magufuli
They are too late to be recognisedMtaji wa CCM ni ujinga wa wananchi(wasio na elimu) Singida, Dodoma, Morogoro, Tabora, Kigoma, Rukwa, Katavi, Shinyanga, Simiyu, Geita, Pwani, Songwe, Njombe, Lindi, Ruvuma, Mtwara na Tanga.
So in other words vijana wasiojielewa ndio wanashabikia saccos , ambao sasa hivi baada ya uchaguzi wa 2015 wamebadilika sasa no more kupiga deki barabaraWazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%);
Wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
View attachment 1543983
Takwimu zinaonyesha difference ya 29.02 kwa 28.92 tu hivyo men/ women ratio siyo kubwa kihivyo. (Kwa mujibu wa mtandao statista).Kwa haraka haraka tu inakadiriwa wanawake ni wengi kuiko wanaume.
Kwa utafii huu CCM wana nafasi kubwa ya kushinda tena uraisi.
Wajanja hatuna chama. Tunapigia kura mtu na siyo chama. Sema katika kumpigia kura huyo mtu chama chake kinafaidika as ni lazima mgombea awe mwanachama cha siasa.Sibishi kwani iko wazi kuwa watu wasiojielewa ndio wanaishabikia ccm pekee. wajanja wako kile chama dume.
KabisaThey are too late to be recognised
Hahahahaha Ila uwt ndo wanafurahi?Bawacha hawataki kabisa kusikia....hiii hahahaha
Umeungua wewe na nani?Ujinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambua
Kama yule mamakoinshort Mazwazwa ndiyo wanaunga mkono CCM
wa CCM including you!Umeungua wewe na nani?
Sema nimeungua siyo tumeungua.
Kabisa mkuuSisi wazee hamtuambii habari za chadema bora hata chauma tutakula ubwabwa kuliko kuiuza nchi kwa mabeberu
Haijalishi ili mradi sote ni wanainchi na ni watanzania Sasa wewe onesha tu chuki zako kuwabagua walio wengi Kama ilivyo kawaida ya mawakala wa mabeberuNa wewe upo kundi la illiterate?