Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Mange kimambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya sampling, waachie wenye taaluma zao.1200 kwa 30000000
Umehoji watu 12000 kati 30000000 tena watu wazima, Alafu unaitwa utafiti wa watu walioenda shuleni!
Kwa dumpling ipi hiyo!
Unajua maana ya sampling?..... Mfano hapa Tanzania maeneo yaliyofunikwa na misitu na misitu mataji wazi ni takriban hekta milioni 40 plus, sasa ikitakiwa uhesabu miti yoote iliyomo humo ndani, urefu wa kila mti na unene wa kila mti utafanyaje? Utavamia kila pori kufanya hiyo kazi?1200 kwa 30000000
Umehoji watu 12000 kati 30000000 tena watu wazima, Alafu unaitwa utafiti wa watu walioenda shuleni!
Kwa dumpling ipi hiyo!
Tembelea website ya twaweza kwenye section ya "Sauti za wananchi" acha kuropoka ovyo kwa mihemko, utafiti hupingwa kwa utafiti.
Sasa sisi tufanye nini? basi tusubiri box la kura lisemeHata Mimi sikubaliani nao kabisa utafiti huo kwa sababu haiwezekani magufuli akawa bado anakubalika kwa 55% kwa wananchi, katika hili niko pamoja na Lema
Kwakweli...Hata mimi siamini nchi hii ina wajinga wengi kiasi hiki... yaani 55%Hata Mimi sikubaliani nao kabisa utafiti huo kwa sababu haiwezekani magufuli akawa bado anakubalika kwa 55% kwa wananchi, katika hili niko pamoja na Lema
hahahahaha pole sanaTwaweza siwaamini, hata walisema ile suti jiwe alivaa kwenye sikukuu ya Idd ni oversize, sita amini
hahahahaha sasa mnapinga kwanini?Twaweza hawaaminiki wanajaribu kutuvuta sisi wa upinzani ili tafiti zao zianze kukubalika na wananchi wengi
Sasa sisi tufanye nini? basi tusubiri box la kura liseme
mkuu unaua!!Kwakweli...Hata mimi siamini nchi hii ina wajinga wengi kiasi hiki... yaani 55%
hahahahaha sasa mnapinga kwanini?
Hivi jiulize wewe tangu uwasikie hao Twaweza je uliwahi kuhojiwa? Au hata angalau ulipita sehemu ukawakuta vijana wao wanaendesha zoezi hili la kuhoji watu?Sasa sisi tufanye nini? basi tusubiri box la kura liseme