UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Mara ya mwisho kuchoma sindano ilikuwa mwaka 99,tena kwenye chumba cha upasuaji na baada ya kuvutishwa ile nusu kaputi,mpaka leo,staki kabisa kusikia hiyo kitu.kama ni dawa nipewe nimeze/ninywe au nipake kwan kunaulazima gani dawa ipitie matakoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi mkuu, wanichome tu hata sindano ya kichwani lakini sio mambo ya kushikana makalio
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nicheke kwanza halafu nitasema lolote baadae
 
Jaman sioni ajabu ni hulka ya MTU ila sio dhambi kujipaka mafuta makalioni maana ni sehemu ya mwili
 

Upake mafuta makalio ili iweje [emoji15]
Maana kazi ya mafuta ni kuranisha na ngozi iwe nyororo [emoji28]
Mi sitaki hiyo [emoji28][emoji28]
 
Manesi chomeni sindano mikononi tuu uko ketioni hataa... na mafuta sijawahi pakaa nikiwa na akili zangu toka utoto na sipaki dadeq, huo unyororo kwa ketio auone nani labda na akiwa anatafuta nini? Labda kama anatafuta kwa kufia.
 
Sie wagumu bn na ni moja ya tabia kutofautixha kati ya mwanaume na mwanamke tn km mm hata usoni hua sipakai lbd nikienda mkoan
 
Hahaha!! Nikweli kabisa hata mie sijui kama niliwahi kupaka. Hahahaaaa! Lakini huyu mtafiti alitaka kujua nini hasa au lengo la utafiti ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…