UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Aisee shika adabu yako zaidi ya maji marufuku kufika kitu kingine huko.

Tako la kiume alijaribiwi.
 
Baby care ninayo kwenye begi langu la kazini nikitua sehemu yeyote natafuta faragha naanza kupakaa makalioni
 
Ww kila ME unayekutana nae unampapasa makalio?, yaani hao wanaume wanaokuwa tayar kupapaswa makalio sio riziki pole yako.
Jamani amesema yeye ni nesi, kwenye kuchoma sindano ndio hukutana na hizo hali za watu walio kakamaa makalio
 
oh my God! sikumbuki lini nilipaka makalio yangu mafuta. na sio makalio tu, mgongo,tumbo,mapaja,naniliu(mjomba) etc. nilijaribu kwenda kwenye massage palour fulani, walinipaka hayo mafuta lakini niliishia tu kufanya ngono zembe Mungu akaniokoa na ukimwi siku hiyo, ila nikioga nyumbani sehemu pekee ninayopata mafuta ni usoni na mikononi na kichwani mara chache. na kwa jinsi nilivyo busy kufukuzana na muda hata mke wangu anapata shida kunikumbusha umepaka mafuta usoni?hahahaha, manake anajua ninaweza nikaondoka hata usoni sijapaka. sioni umuhimu kupaka paka mafuta. ilitokea siku moja nipo mkoani, si nikajua niko dsm, nikaoga vizuri sijui kama nimebabuka usoni kwa baridi...nikaulamba nikatoka mbio kwenye shughuli zangu, sasa kila ninayekutana naye naona ananiangalia sana usoni nikajua wamenifananisha, ilikuwa asubuhiasubuhi, kesho yake nikasema nijiangalie usoni kwenye kioo cha kulekule gesti pengine nitakuwa na mwonekano mbaya au nina ngeu mbona wananiangalia sana...dah? kuja kugundua, kumbe kwasababu ya joto la dsm na vipelepele vya joto usoni sometimes, ukienda mkoani vile vipele vinafanya kama mabakamabaka usoni....watu wanaweza kufikiri una ugonjwa wa ngosi...hahahahaha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenichekesha sana
 
Una kalio kubwa sana hadi kuhitaji staili ya kupaka wese?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah jamani mtuhurumie mbavu zetu,.....

Hilo jibu sio la dunia hii [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi mwanaume unaanzaje kujipaka mafuta matakoni aiiseh yani ni sawa na kupakwa make up ni kujipeleka kwenye ulimwengu GIZA!
 
Mwanaume unatakiwa uwe na vu*i p*mbu za kutosha kalio jeusii ngumu,..
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Hakuna haja yoyote, kwa mwanaume kupaka makalio mafuta.
Ndio kwanza nasikiahii.

Ikiwa kwenye kioootu Sijui maraya mwisho nilijiangalia lini.
Mwili wenyewe saazingine hadi wife aseme heee mbona hupaki mafuta, ndio nakumbuka.
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Umesahau kitu
Hata zile nyanya zinahitajika kusuguliwa tena dodoki pori na kupakwa vaseline maana mengine yanatishia usalama wakati wa mechi [emoji2] [emoji2] [emoji3]
 
Dume kujipapasa makalio ni hatare sheikh, na piaa wengine wana nywele kwenye makalio
 
Kwa hiyo mimi nipake makalio mafuta? Yaani ili yang'ae, yalainike au kiwe nini? Aiseee! Ntakuwa idiot!
 
Kuna mtaliano mmoja enzi hizo wakati napiga mgegedo alikuwa anapenda kweli pale wakati namkojolea shahawa makalio yanakuwa magumu halafu yamepauka kama chuma chenye kutu
 
Back
Top Bottom