UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Basi Mwili wako mdogo, Mimi na huu ubonge nianze kupaka mwili mzima..itabidi nlikimaliza kupaka nirudi kuoga coz jasho litanitoka kweli kweli. Ila hii ya kulainisha makalio inanitia shaka kma itazingatiwa na wanaume. Bora nipake mafuta Kichwani na Miguuni.
Hahaa ..na mwili huo mpaka umalize kupaka umeshamaliza dakika 45 nzima kwenye kupaka mafuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini wanaume wa Dar wanapaka sana mafuta kwenye makalio yao
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
😂😂😂😂..nimecheka kama mazuri jmn,khaa
 
amanda cute kuna vitu unachanganya hapa
Je sababu ya kumchuna mwanaume ni kwa vile hapaki mafuta makalioni? Ama kunuka mdomo ama kuwa mchafu ama kunuka miguu?
Kwanini usiwe na wako mmoja ukamshape? Mpaka akakaa sawa kwa viwango vyako? Hili linawezekana kabisa.. Ila ukiendelea na hii bandika bandua utakuja kubeba visivyobebeka hasa nuksi na mikosi
bb2a8b0db33e6f3857e589e9fa28c9b5.jpg
yote haya kila siku yaishie makalioni [emoji144] [emoji144] [emoji144] tuhurumie dada kalio la kiume halifai kuwa nyoronyoro

🤣🤣🤣🤣dah nimecheka wese ni jingi sana duh
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta

🤣🤣🤣🤣jf ni tatizo
 
Kwa namna hii sina uhakika kama uchumi wa viwanda utafikiwa. Mafuta kwenye makalio ili nini? au huwa kuna maonesho ya hayo maeneo?
 
Back
Top Bottom