hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ..na mwili huo mpaka umalize kupaka umeshamaliza dakika 45 nzima kwenye kupaka mafuta tuBasi Mwili wako mdogo, Mimi na huu ubonge nianze kupaka mwili mzima..itabidi nlikimaliza kupaka nirudi kuoga coz jasho litanitoka kweli kweli. Ila hii ya kulainisha makalio inanitia shaka kma itazingatiwa na wanaume. Bora nipake mafuta Kichwani na Miguuni.
Jamaa kanivunja mbavu sana ... eti kaitikia dah !![emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] duuh
Kabisa ChiefKalio la mwanaume ni no fly zone,haruhusiwi mtu yoyote kunigusa eneo hilo ni kama mpaka wa korea kusini na kaskazini (DMZ),mie mwenyewe sijigusi huko isipokuwa kwa dharura na kibali maalum.kama kukauka wacha pakauke tu.
HahaaSasa uoshe vizuri ili iweje, kuchamba kwingi mwisho ni kujipiga dole tu
HahaaYaan tangu muwezeshwe mmekuwa waropokaj sana... Kuwen makin ..yaan hats story zenu za umbea mnaita utsfiti..
Upake mafuta makalio ili iweje [emoji15]
Maana kazi ya mafuta ni kuranisha na ngozi iwe nyororo [emoji28]
Mi sitaki hiyo [emoji28][emoji28]
HahaaUkiona hyo sehem inatoa unga,jua tayar kuna development of industries,fanya kuwekeza uajr watu
Unaonaje kasema kweli au ?Kiruuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa Mshana Jr ... wewe ndio umeyataka haya ...baada ya kufukua hili kaburi ..nitacheka sana leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa ni utafiti inawezekana ni kweliUnaonaje kasema kweli au ?
😂😂😂😂..nimecheka kama mazuri jmn,khaaHuu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?
Naomba niwape multiple choices
a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
😂😂😂😂😂😄Huo unga ndo uanaume wenyewe..sasa dume zima uteleze makalio si maajabu haya
amanda cute kuna vitu unachanganya hapa
Je sababu ya kumchuna mwanaume ni kwa vile hapaki mafuta makalioni? Ama kunuka mdomo ama kuwa mchafu ama kunuka miguu?
Kwanini usiwe na wako mmoja ukamshape? Mpaka akakaa sawa kwa viwango vyako? Hili linawezekana kabisa.. Ila ukiendelea na hii bandika bandua utakuja kubeba visivyobebeka hasa nuksi na mikosi
yote haya kila siku yaishie makalioni [emoji144] [emoji144] [emoji144] tuhurumie dada kalio la kiume halifai kuwa nyoronyoro![]()
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?
Naomba niwape multiple choices
a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Kwa namna hii sina uhakika kama uchumi wa viwanda utafikiwa. Mafuta kwenye makalio ili nini? au huwa kuna maonesho ya hayo maeneo?Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?
Naomba niwape multiple choices
a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta