Utafiti Binafsi: 85% ya Wanawake ( hasa Masista Duu ) wa Dar wanalala Sakafuni Walikopanga na hawana kabisa Vitanda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?

Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa?

Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea Kwake analala Sakafuni na Godoro lake huku akiwa hana Kitanda.

Yafuatayo ni Maeneo ambayo Wadada ( Wanawake ) Wengi Watanashati ( Masista Duu ) wanaishi ila Wanalala chini na hawana Vitanda.....

1. Tabata
2. Goba
3. Mbezi Lois
4. Bunju
5. Ubungo
6. Mbagala
7. Kawe
8. Tegeta
9. Yombo
10. Mwananyamala
11. Tandika

Naomba niishie hapa Kwanza nikatafute Dawa ya Kuchua Maumivu ya Mgongo kwa Kulala Sakafuni Godoroni Usiku Kucha na kuyapumzisha Magoti yangu yaliyosumbuana mno na Godoro lililokuwa linakaribia tu kuwa kama Sakafu wakati nikiitafuta Hat Trick ya Kibaiolojia ya Mayele na Zengeli kwa Mwenye Chumba chake.
 
Alieandika hapa ni mwalimu msomi kutoka chuo cha Butimba TTC mkoani Mwanza. Hawa ndio walimu wetu ambao taifa linawategemea. Hawa ndio wanao fundisha watoto wetu mashuleni.

Kazi kweli kweli
Kwanini mpaka leo Ombi langu la Mimi na Wewe kuwa tunajibizana ( hapa JamiiForums ) kwa Lugha ya Kiingereza usiyoijua bado hujalijibu?
 
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?

Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa?

Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea Kwake analala Sakafuni na Godoro lake huku akiwa hana Kitanda.

Yafuatayo ni Maeneo ambayo Wadada ( Wanawake ) Wengi Watanashati ( Masista Duu ) wanaishi ila Wanalala chini na hawana Vitanda.....

1. Tabata
2. Goba
3. Mbezi Lois
4. Bunju
5. Ubungo
6. Mbagala
7. Kawe
8. Tegeta
9. Yombo
10. Mwananyamala
11. Tandika

Naomba niishie hapa Kwanza nikatafute Dawa ya Kuchua Maumivu ya Mgongo kwa Kulala Sakafuni Godoroni Usiku Kucha na kuyapumzisha Magoti yangu yaliyosumbuana mno na Godoro lililokuwa linakaribia tu kuwa kama Sakafu wakati nikiitafuta Hat Trick ya Kibaiolojia ya Mayele na Zengeli kwa Mwenye Chumba chake.
Kwani hukusikia kauli ya watu wa daslama kuwa kwao cha muhimu ni kuvaa vizuri(kupendeza) na kuwa na simu kali??
 
Alieandika hapa ni mwalimu msomi kutoka chuo cha Butimba TTC mkoani Mwanza. Hawa ndio walimu wetu ambao taifa linawategemea. Hawa ndio wanao fundisha watoto wetu mashuleni.

Kazi kweli kweli
Kama ni mwalimu basi ni hatari
 
Back
Top Bottom