Utafiti Binafsi: 85% ya Wanawake ( hasa Masista Duu ) wa Dar wanalala Sakafuni Walikopanga na hawana kabisa Vitanda

Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?

Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa?

Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea Kwake analala Sakafuni na Godoro lake huku akiwa hana Kitanda.

Yafuatayo ni Maeneo ambayo Wadada ( Wanawake ) Wengi Watanashati ( Masista Duu ) wanaishi ila Wanalala chini na hawana Vitanda.....

1. Tabata
2. Goba
3. Mbezi Lois
4. Bunju
5. Ubungo
6. Mbagala
7. Kawe
8. Tegeta
9. Yombo
10. Mwananyamala
11. Tandika

Naomba niishie hapa Kwanza nikatafute Dawa ya Kuchua Maumivu ya Mgongo kwa Kulala Sakafuni Godoroni Usiku Kucha na kuyapumzisha Magoti yangu yaliyosumbuana mno na Godoro lililokuwa linakaribia tu kuwa kama Sakafu wakati nikiitafuta Hat Trick ya Kibaiolojia ya Mayele na Zengeli kwa Mwenye Chumba chake.
Usisahau kumeza Azuma[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji23] Mapema kabla haijachanganya.
Madem wa uswahil ndio wenye hayo machangamoto
 
Hawezi kuelewa maisha ya Dar kwa sababu yeye ni bushman anaishi mkoani.
Kwanini mpaka leo Ombi langu la Mimi na Wewe kuwa tunajibizana ( hapa JamiiForums ) kwa Lugha ya Kiingereza usiyoijua bado hujalijibu?
 
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?

Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa?

Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea Kwake analala Sakafuni na Godoro lake huku akiwa hana Kitanda.

Yafuatayo ni Maeneo ambayo Wadada ( Wanawake ) Wengi Watanashati ( Masista Duu ) wanaishi ila Wanalala chini na hawana Vitanda.....

1. Tabata
2. Goba
3. Mbezi Lois
4. Bunju
5. Ubungo
6. Mbagala
7. Kawe
8. Tegeta
9. Yombo
10. Mwananyamala
11. Tandika

Naomba niishie hapa Kwanza nikatafute Dawa ya Kuchua Maumivu ya Mgongo kwa Kulala Sakafuni Godoroni Usiku Kucha na kuyapumzisha Magoti yangu yaliyosumbuana mno na Godoro lililokuwa linakaribia tu kuwa kama Sakafu wakati nikiitafuta Hat Trick ya Kibaiolojia ya Mayele na Zengeli kwa Mwenye Chumba chake.
Bila kuwataja wadada wa keko ya magurumbasi wanaokula bata hapo King palace daily , naamua kusema haujawatendea haki

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga?

Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa?

Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea Kwake analala Sakafuni na Godoro lake huku akiwa hana Kitanda.

Yafuatayo ni Maeneo ambayo Wadada ( Wanawake ) Wengi Watanashati ( Masista Duu ) wanaishi ila Wanalala chini na hawana Vitanda.....

1. Tabata
2. Goba
3. Mbezi Lois
4. Bunju
5. Ubungo
6. Mbagala
7. Kawe
8. Tegeta
9. Yombo
10. Mwananyamala
11. Tandika

Naomba niishie hapa Kwanza nikatafute Dawa ya Kuchua Maumivu ya Mgongo kwa Kulala Sakafuni Godoroni Usiku Kucha na kuyapumzisha Magoti yangu yaliyosumbuana mno na Godoro lililokuwa linakaribia tu kuwa kama Sakafu wakati nikiitafuta Hat Trick ya Kibaiolojia ya Mayele na Zengeli kwa Mwenye Chumba chake.
Cha muhimu wote wamepata usingizi, wakaamka salama
 
Sasa si uwanunulie,acha kuwananga mana usingizi ni ule ule.
 
Back
Top Bottom