UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Hongera, ni utafiti uliopaswa kukupatia "Title" kubwa tu, Hebu jibu hoja Na. 7 ya Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Unadhani ni waislamu kweli ama ni wanasiasa ndio wanawatumia hao waislamu?

mkuu tatizo kuu ni masheikh na mfumo halisi wa uislam! Elimu ya masheikh ni tatizo kubwa. Wangejiwekea kamfumo ka kuwapa elimu dunia, hasa logic and philosophy hata 'kutumiwa' na wanasiasa kusingekuwepo
 
madai ya nchi kuendeshwa na mfumo kristu mimi niliangalia kwa hoja moja tu! waislamu wanataka wapumzike siku ya ijumaa lakini hata vitabu vyao havitaki wapumzike halafu, hata waislamu wenye makampuni na enterprises wamekuwa wakifanya kazi nusu siku kwa siku za jumapili. je wamelazimishwa na nani? mfano wa hiyo ni omary awadh hufanya kazi nusu siku kwa siku za jumapili
 
Tafiti za uongo tupu unalepa propagetion kwenye swala kweli ukitaka data za kweli waulize hao wanaosema mfumokristo watakupa data za kweli,sio huu utumbo uliyo uleta hapa au kwakuwa kau asisi baba yako?
 
waislamu hawajafundishwa upendo ndio chanza kikuu cha malalamishi haya.
 
Tafiti za uongo tupu unalepa propagetion kwenye swala kweli ukitaka data za kweli waulize hao wanaosema mfumokristo watakupa data za kweli,sio huu utumbo uliyo uleta hapa au kwakuwa kau asisi baba yako?

Aisee!
 
Hivi mtu kama huyu sijui hasa malengo yake ni yepi, ila twende tu tunaelekea kufika mnapotaka tufike.
 
Hivi mtu kama huyu sijui hasa malengo yake ni yepi, ila twende tu tunaelekea kufika mnapotaka tufike.

Hapa unamaana kuwa unataka taifa liendelee kuingizwa katika propaganda za kidini?

Nimewafungua watu wamejua ukweli, mwenye kuendelea kudanganywa kwa ngano za mfumo kristu aendelee lakini Tanzani itasimama wima
 
Iwapo watumishi wa serikari nchi nzima ni takribani laki tano tu,inakuwaje dar pekee inakuwa na watumishi laki nane, namashaka na takwimu za utafiti huu.
 
Imagine km "...mfumo kristu haukubuniwa...".Baada ya ile dhan ya kugombea uhuru, waislam wangepati wapi pa ku black mail taifa?waoi wangechoma makanisa kirahisi tuu na kesho yake serikali ikaenda wasikiliza ktk secular gaovernment..?imagine bila mfumo Christu waislam wangewaambiaje watoto wao waliowaaminisha kuwa dini yao ndio ya kweli,elimu yao ndio superior na swala yao hujibiwa na allah...halafu ufaulu wa wakristu, na mahudhurio yao kuwa mkubwa?

Imagine bila hiyo:wangewaambiwa nini watoto kuhusu uhaba wa shule, udhaifu wa taasisi zao kiuongozi, kushindwa kwa mengi bila backup ya office za serikali.......leo si ktk afya, elimu pekee waislam bila serikali inayobebwa na Ukristu life yao itakuza impossible........hata mabilionea wa kiislam hali zao hubadilika sana mfumo islam ukibanwa...yule jamaa wa home shopping centre km kungekuwa na serikali isiyo ya kiislam, na hakuna rushwa asingefikia hapo.ni dunia nzima..hata india waislam wanalili wapewe fursa..sawa.Na waliopata huwa wanafanya unwise support kwa wenzao.Wauza unga ,majangili wa porini, na wengine anaofanya bishar azisizo na kodi wengi ni waislam...pamoja na kutochangia kodi ktk dili haramu na kujuana na ikulu, na wazee wa chama..bado kodi itokayo kwa wakristu wanaofanya kazi rasmi..bado ktk mgao waislam ndio wanafaidi ..kuanzai kuokolewa ktk utapeli wa hija, kulipia bakwata, kulipia elimu,afya, na hata ajir amakazini zinazotolewa kidini.

Uliwahi sikia Quran inajitetea vipi kuhusu mafanikio ya Wakristu......kuwa ni lifists ,waponda starehe.....kwa ujumla mchango wa waislam ni mdogo kuliko matumizi yao ktk kodi ya nchi...wapo wengi wasio na bishara zilizorasimishwa ,na kulipa kodi, wamezaa watoto wengi sana kw akisingizio kuwa wana uwezo wa kuhudumia kw avile wana mali ila wakati wa kusoma husomea hela ya makafiri ambao wana watoto wachache, na wanalipa kodi...na hawatumii udini kuingizana.

mdau hapo kwenye blue ungeweka na evidence,na kwenye red pia,maana kuna akina Alex Massawe,akina Basil Mramba,akina Lukuvi nao wametajwa,akina Yona,
kuchezewa kwa ikulu kama unakuona leo basi wewe wa juzi,ila ikulu imeanza kuchezewa since awamu ya 2 hadi ya 3 na 4
 
Tafiti za uongo tupu unalepa propagetion kwenye swala kweli ukitaka data za kweli waulize hao wanaosema mfumokristo watakupa data za kweli,sio huu utumbo uliyo uleta hapa au kwakuwa kau asisi baba yako?

Sasa kwanini usimwambie na wewe mama yako aka asisi mfumo wake...kama una data za kwako au za hao wanao dai mfumo kristo na kwakuwa ni bwana zako waombe watuwekee hapa siyo kuja na kejeli za kipumbumbavu ukidhani kijeli unaziweza wewe tu...
 
k
WANZA NIKUPONGEZE KWA UTAFITI WAKO PENGINE TUNAWEZA KUPATA PA KUANZIA LAKINI KUNA MAKOSA MADOGO MADOGO KWENYE UANDISHI WAKO KAMA NILIVYOAANISHA HAPO JUU..
KINGINE NINGEPENDA UTAFITI WAKO UINGIE KWA WAKUU WA WILAYA, MKOA, RCO, RPC,MAWAZIRI,MAJAJI, MAKATIBU...
pia alete takwimu waliohitimu vyuo vikuu,vyote tupime tuone.
 
Iwapo watumishi wa serikari nchi nzima ni takribani laki tano tu,inakuwaje dar pekee inakuwa na watumishi laki nane, namashaka na takwimu za utafiti huu.
Wizara moja tu inaweza kufikisha idadi hiyo nayo ni wizara ya elimu na madikodiko yake...
 
Iwapo watumishi wa serikari nchi nzima ni takribani laki tano tu,inakuwaje dar pekee inakuwa na watumishi laki nane, namashaka na takwimu za utafiti huu.

Mkuu pole sana,

Nikupe kazi ndogo tu ndugu,

Nenda utumishi waombe faili la Walimu wa Dar tu, kisha njoo hapa utuambie umeona idadi yao ni ngapi?
 
mdau hapo kwenye blue ungeweka na evidence,na kwenye red pia,maana kuna akina Alex Massawe,akina Basil Mramba,akina Lukuvi nao wametajwa,akina Yona,
kuchezewa kwa ikulu kama unakuona leo basi wewe wa juzi,ila ikulu imeanza kuchezewa since awamu ya 2 hadi ya 3 na 4

Alex massawe ni jambazi km jambazi wengine ambao hata kanisani wamashindikana.......Mramba na Yona SIna hakika na JK...Ila nikija kwa kinana, Rostam , manji, Mpakanjia, Malima, Rage, Zungu, etc sijui km hawa jamaa wameshindikana miskitini...wauza maandazi na mirungi wengi mjini,weny studio za picture, wauza kanzu , waganga wa kienyeji wa majinn ambao ndio matajiri Tanga, ilala, magomeni na temeke sijui km wanalipa kodi ipi....sijui km wanalipa kodi km vipato vyao....

Lukuvi ni kundi la Wahalifu km wengine ambao hawajawahi tete Ukristu wao in public wala kujali Ukristu kuingizwa ktk siasa za chama chake, kudhaililishwa na kutukanwa ktk chama chake.....ni wazi hawao jamaa hawana tofauti na wapagani wenye majina ya kikristu..Ila sijui km Rostam,manjia, na akina asha baraka, karamagi, kagasheki etc wameshawahi acha tete uislam wao popote....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom