UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kariakoo kuwa na maduka 489,135 binfsi siamini, maake kwa idadi hii kariakoo peke yake tatizo la ajira kwa dar lingekuwa kidogo.
 
Napenda sana watu wanaoumiza vichwa na kufanya tafiti za maana. Hongera sana mkuu!
 
Ni kweli kariakoo kuwa na maduka 489,135 binfsi siamini, maake kwa idadi hii kariakoo peke yake tatizo la ajira kwa dar lingekuwa kidogo.

sijaelewa dhana ya duka hapa imeangaliwaje?je kwa walipa kodi TRA? Au duka kwa kila frem?or kibanda au kikontena???
 
shangaa na wewe,anasema katembelea maduka laki nne,hiyo kazi haiwezi kufanywa na mtu mmoja.

Kushangaa ni sehemu ya maisha ya binadamu hasa kama tukioo lililo mbele yake ni geni,

Nini unahisi kitashindikana kwa mtafiti aliyedhamiria kuujua ukweli na utafiti unaochukua miezi zaidi ya 30?
 
Huyo hana data analeta ushabiki tu wa ukristo na usilam mbuna wakristo wanapewa fedha kwenye mkataba mou, wasilamu hawapewi huo sio mfumo kristo? Yericko aanaleta data uongo hapa nani asiyo jua nchi hii labda mkimbiz, mfumo wake
 
Ndugu zangu waswahili,

Huyu ndugu ni miongoni mwa walioadhiriwa na propaganda hizi za mfumo kristu,

Hajui hata dhana ya MoU, sijui tumuokoaje,

Dr W.P.Slaa aliwahi kutoa ufafanuzi mpana sana kuhusu MoU na Kanisa,

Hakuna hata senti 1 ya mlipakodi wa Tanzania inayoingia kwenye MoU kwa dhamira tajwa, MoU ni makubaliano kati ya Kanisa na shirika la kigeni (ujerumani), serikali ya Tanzania ni shahidi tu katika Makubaliano hayo,
 
Inferiority complex ya waislam tu
utafiti huu niwa uongo, wakupanga usio mbele wala nyuma.
mfano mzuri ni Zanzibar ambayo ni sehemu ndogo na tunajuana, amesema wanasiasa na si watendaji, lakini hata hivyo yule mwakilishi mkiristo tena mwanamke kwenye baraza la wawakilishi ameshasilimishwa? yule mbunge wa jimbo la Dole ni mkiristo pia. hivi utafiti uliufanya vipi au kutumia mfumo kristo? ukija watendaji usiseme kibao wakati huohuo ujue kuwa asilimia 98% ya wakaazi ni waislamu na asilimia mbili 2 % ni wa dini nyengine. Unategemea nini? au ndio maana Mnawaleta wakiristo kwa kivuli cha muungano ili mpate kuleta mfumo kristo na huku Zanzibar Ndio maana tuanata ka muungano wa mkataba na Tanganyika

Danganya wakotoliki wenzako, mfumo kristo upo si kwa wanasiasa tu lakini hata watendaji nawatoa maamuzi
 
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.
 
Mi nijuavyo,hawa jamaa waislam wana akili sana!Na mijadala mingi huwa naona umbumbumbu wa wakristo(ama wanaojiita wakristo)wakijigamba eti wao wamesoma ooh sijui wanajenga mashule na hospitali wakati waislam wanajenga misikiti!Ila bila hata kufanya utafiti,utagundua tu hawa jamaa wako njema sana ukilinganisha na wakristo.Na kadri mnavyowaona wajinga ndivyo wanavyojiongezea fursa kwa upendeleo bila hata kusikia wakristo wakijitetea.Wamepewa chuo kikuu bure!Wanabebana sana kila wapatapo mwanya.Na hata ungeendelea kufanya utafiti kwa wanaomiliki ardhi(viwanja na nyumba) mijini ungepata mshangao kuona hawa jamaa wako juu sana!Nawaona wakristo wenzangu wengi ushamba tu ndo huwasumbua na kujiona wako juu wakati si kweli.Asante mkuu kwa utafiti huu na utakuwa msaada hata kwa baadhi ya vijana wa kikristo wasiofikiri vizuri na kujigamba bure huku wenzao wakilalamika huku wakiwa na kitu mkononi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Christian blood is more precious ktk madhabahu....christianity ndio inaset standards...ndio dira ya kupima ukweli na uongo ndio maana lazima waingizwe hata km hawataki....ukiinginza elements za ukritu ktk bisahra lazima ifanikiwe...Ni rahisi kuona wapi wanatafutwa kuuwawa, unaweza ona shule isipowahusisha wakristu hata wachache jinsi inakuwa zero,...ndio maana hata taasisi za kiislam za jamii za kihindi, waturuki au wengine zinafanikiwa kw akuchukua western ways....hata akina JK km hawakua absorb christian leadership wangebaki km wazenj..wazenj walioingi aktk muungano wanatofauti sana na wenzao..kule ktk misitu ya mikarafuu.

ama kweli kipofu kiziwi nia kaitka kaumu ya matatatizo. bila ya aibu eti anasema ukitaka kuongokewa katika biashara fuate nyao za kikrosto lakini wakati akijua kuwa hata top 5 ya taycoons wa tanzania ni waislamu. uchumi wa Tanzania uko kwenye mikono ya waislamu.
Ukiristo ni dini ya mwituni Tanzania. Hapa kwetu hata ukiomba maji basi hupewi kwenye gilasi na ukibahatika basi glasi hiyo itaoshwa kwa maji ya moto na JIK baada yakuitumia kafiri
 
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.

Sempa
Acha kutumia ma------ kufikiria sababu unaposema kitanuka unamtisha nani? Mbona unakuwa na akili kama Nguruwe??

Acheni kutishia watu sababu ya ujinga,Nyie mumeshindwa nini kuomba hizo pesa mpewe? All in all INFERIORITY COMPLEX ndio inawasumbua
 
ama kweli kipofu kiziwi nia kaitka kaumu ya matatatizo. bila ya aibu eti anasema ukitaka kuongokewa katika biashara fuate nyao za kikrosto lakini wakati akijua kuwa hata top 5 ya taycoons wa tanzania ni waislamu. uchumi wa Tanzania uko kwenye mikono ya waislamu.
Ukiristo ni dini ya mwituni Tanzania. Hapa kwetu hata ukiomba maji basi hupewi kwenye gilasi na ukibahatika basi glasi hiyo itaoshwa kwa maji ya moto na JIK baada yakuitumia kafiri

Bharaghash
Top 5 tycoons ni waislamu nani amelalamika? Mbona hawawasaidii kiasi cha kila siku hamuishi, hamuachi kulalamika? Hao tycoons wawabebe basi,ni akili ndogo na finyu wanaume wazima kila siku kulalamika kama viwete mnataka mbebwe tu hamuoni aibu? Oneni aibu mara ooh
 
Congrats kwa kucompile hii info, ila nawasiwasi sanaa juu ya accuracy ya hii report labda ungetuambia methodology gani ilitumika kupata hizi results ... or it might be a simple way to harmonize and enforcing the idea that we are equal in numbers.
 
ama kweli kipofu kiziwi nia kaitka kaumu ya matatatizo. bila ya aibu eti anasema ukitaka kuongokewa katika biashara fuate nyao za kikrosto lakini wakati akijua kuwa hata top 5 ya taycoons wa tanzania ni waislamu. uchumi wa Tanzania uko kwenye mikono ya waislamu.
Ukiristo ni dini ya mwituni Tanzania. Hapa kwetu hata ukiomba maji basi hupewi kwenye gilasi na ukibahatika basi glasi hiyo itaoshwa kwa maji ya moto na JIK baada yakuitumia kafiri

Kwasababu wanafanya na wateja wengi wakristu..........bado ni ngumu kuelewa?Imagine wangekuwa wakiwauzia watu wa Uswazi tanga,bagamoyo, kilwa etc......au wazee wa gahawa migomigo....?hiyo ndio benefit ya mixed market..Na wengi wameifaidi serikali inayochukua kodi za wakristu..Wapiga dili nyingi serikalini hupitia misikitini....na kupatia entry kwa viongozi waislam.

Muulize bakhresa km angeuzia waislam wangapi chapati?wakati wenyewe ndio bishara yao mijini, bagia, vitumbua,chapati, mirungi..udi,uban na uganga....

Mbona umeruka Damu ya Wakristu umeogopa kugusa Damu ya Yesu pia ilikuwa inatosha mlipa Shetani(majinn/Iblis) deni alilokuwa anadai wananchi na kutawala hadi uzao wao .Unayo kazi....
 
Mi nijuavyo,hawa jamaa waislam wana akili sana!Na mijadala mingi huwa naona umbumbumbu wa wakristo(ama wanaojiita wakristo)wakijigamba eti wao wamesoma ooh sijui wanajenga mashule na hospitali wakati waislam wanajenga misikiti!Ila bila hata kufanya utafiti,utagundua tu hawa jamaa wako njema sana ukilinganisha na wakristo.Na kadri mnavyowaona wajinga ndivyo wanavyojiongezea fursa kwa upendeleo bila hata kusikia wakristo wakijitetea.Wamepewa chuo kikuu bure!Wanabebana sana kila wapatapo mwanya.Na hata ungeendelea kufanya utafiti kwa wanaomiliki ardhi(viwanja na nyumba) mijini ungepata mshangao kuona hawa jamaa wako juu sana!Nawaona wakristo wenzangu wengi ushamba tu ndo huwasumbua na kujiona wako juu wakati si kweli.Asante mkuu kwa utafiti huu na utakuwa msaada hata kwa baadhi ya vijana wa kikristo wasiofikiri vizuri na kujigamba bure huku wenzao wakilalamika huku wakiwa na kitu mkononi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nakupa tano
 
Huyo hana data analeta ushabiki tu wa ukristo na usilam mbuna wakristo wanapewa fedha kwenye mkataba mou, wasilamu hawapewi huo sio mfumo kristo? Yericko aanaleta data uongo hapa nani asiyo jua nchi hii labda mkimbiz, mfumo wake

Haha...umewahi jiuliza wauza unga, wauza kanzu, wauza mirungi, wauza udi, waganga wa majinn(shekhe yahay na utajiri wake km aliwahi lipa kodi)....uliwahi jiuliza waislam wenye hele nyingi km wanalipa kodi halali ...ila umewahi jiuliza waislamw anatumia kiasi gani cha hiyo kodi bado wanalalamika?Umewahi jiuliza waislamw amewahi changia nini ktk jamii km hospital,shule zenye hadhi nas ivituo vya kujenge amimba na ndoa za mkeka.....by the way serikali inatumia kodi za wakristu kulipa wakristu ili watumie huduma za wakristu kwa waislam.

Mnahitaji sana mheshimu Mkristu mumkutaye njiani....kuna mengi anawasaidia indirectly...so hiyo Mou Serikali inatumia kodi ya wakristu nchini na misaada ya wakristu(kama sadaka na Kodi) wa nchi nyingine.Kwa ujumla Ukwirtu ni Rahma wa waislam.
 
Kwasababu wanafanya na wateja wengi wakristu..........bado ni ngumu kuelewa?Imagine wangekuwa wakiwauzia watu wa Uswazi tanga,bagamoyo, kilwa etc......au wazee wa gahawa migomigo....?hiyo ndio benefit ya mixed market..Na wengi wameifaidi serikali inayochukua kodi za wakristu..Wapiga dili nyingi serikalini hupitia misikitini....na kupatia entry kwa viongozi waislam.

Muulize bakhresa km angeuzia waislam wangapi chapati?wakati wenyewe ndio bishara yao mijini, bagia, vitumbua,chapati, mirungi..udi,uban na uganga....

Mbona umeruka Damu ya Wakristu umeogopa kugusa Damu ya Yesu pia ilikuwa inatosha mlipa Shetani(majinn/Iblis) deni alilokuwa anadai wananchi na kutawala hadi uzao wao .Unayo kazi....

ndio maana nika kwambia nyie ni viziwi na vipofu kwenye kaumu ya kuchangia tu. kweli naogopa najisi ya ukiristo ili nisije kuwa kama wewe mtu wa kupiga kelele na kuhubiricha bwana wakati waislamu hapa hapa Tanzania wanaendelea kuwa mbweana zenu
 
Bharaghash
Top 5 tycoons ni waislamu nani amelalamika? Mbona hawawasaidii kiasi cha kila siku hamuishi, hamuachi kulalamika? Hao tycoons wawabebe basi,ni akili ndogo na finyu wanaume wazima kila siku kulalamika kama viwete mnataka mbebwe tu hamuoni aibu? Oneni aibu mara ooh
tunalalamika kwa sababau tumezoea kutawala na wengi kuwafanya watwana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom