Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,021
Ndugu yangu,
Bahati mbaya sana hao uliowataja hapo juu na wewe mwenyewe, mkiulizwa hasa mfumo kristu ni upi Tanzania? hamna jibu yakinifu zaidi ya majibu ya dhahania tu,
Fanya Literature Review kwa Vitabu nilivokutajia, kukimbilia Oral Intervw ni ku Politicise Utafiti labda kama una madhumuni mengine, Habar ya kusema hata ungewahoji hao na mimi tusingekuwa na majibu ni kuji Pre empty na kuonesha ulikariri majibu kabla ya kuanza 'utafiti wako' kitu ambacho kinakatazwa sana kwenye Reserch eti ujuwe hatutakuwa na majibu kabla hujatuhoji sasa Reserch itakuwa na maana gani, tutajie Literature Review uliyofanya kwenye huu 'utafiti'.