UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Mkubwa hata Hiyo MOU wanayojaribu kuitetea kwa miaka mingi walikuwa wakikanusha Mpaka watu walipoweka hadharani Mkataba halisi ndio wakaja na jitihada za kuutetea, Sasa Mamilion ya fedha za walipa kodi yanaenda kanisani lakin hakuna Ukaguzi unaofanywa, kama wanaweza kwiba fedha za Sadaka za waumini wao watashindwaje kutafuna au kubadilisha matumizi fedha zetu kama vile kununulia Mkate wa Damu ya Yesu au Mvinyo na Rozari?

Nilitoa ufafanuzi kidogo tu kuhusu MoU, sijui kama ulinielewa hapo nyuma?

Uliza swali ama maoni kulingana na ufafanuzi wangu huo juu ya MoU!
 
Ningekuona umefanya Utafiti wa maana kama ungewahoji Masheikh wakuambie nini maana ya mfumo huo sio kujiandikia tu.

Umepoteza muda wako bure na hakuna cha maana ulicholeta . Mfumo huo upo na waambie waliokutuma kuja kuleta propaganda hapa kuwa mimi sijaukubali na nimeuona ni Upuuzi tu
 
thibitisha lini CAG alishawahi kukagua Fedha zinazoenda kwa Kanisa kama zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa wakati Sect 43 ya Katiba inampa Nguvu,mamaka na wajibu wa Kukagua kila Shilingu ya serikal inayokwenda kwenye matumizi!
 
Wewe ukiwa ni mmoja ya wanaoamini kuwa Tanzania kuna mfumo kristu, eleza ulipo na unavyofanya kazi nchini,
 
Mkubwa hata Hiyo MOU wanayojaribu kuitetea kwa miaka mingi walikuwa wakikanusha Mpaka watu walipoweka hadharani Mkataba halisi ndio wakaja na jitihada za kuutetea, Sasa Mamilion ya fedha za walipa kodi yanaenda kanisani lakin hakuna Ukaguzi unaofanywa, kama wanaweza kwiba fedha za Sadaka za waumini wao watashindwaje kutafuna au kubadilisha matumizi fedha zetu kama vile kununulia Mkate wa Damu ya Yesu au Mvinyo na Rozari?

We jamaa una chuki sana na Wakristo na Ukristo. Lakini chuki zako zitakuua bure wakati hao unawaowachukia na kuwadharau wakiendelea kudunda na kula raha zao. Bob Marley alipata kusema "Who Jah (GOD) bless no one can curse".

By the way Waislamu sio Tanzania ni karibu Duniani kote wanalalamika, sijui na Somalia ni mfumo Kristo???
 
Ningekuona umefanya Utafiti wa maana kama ungewahoji Masheikh wakuambie nini maana ya mfumo huo sio kujiandikia tu.

Umepoteza muda wako bure na hakuna cha maana ulicholeta . Mfumo huo upo na waambie waliokutuma kuja kuleta propaganda hapa kuwa mimi sijaukubali na nimeuona ni Upuuzi tu

Kwa research yake hii hata kama ametumwa basi atadhaurika sana na waliomtuma. Hata mjinga anaesikia sikia dhana ya mfumo kristo kwa majibu hayo hawezi kushawishika.Dhana ya mfumo kristo ni pana sana mkuu yericko nyerere. Research yako tata na sample space yako pia ni utata mkubwa. Nilitaraji ungechukua mawazo ya wanaodai tanzania kuna mfumo kristo ila umefanya blah blah zako halafu unaziita research.
Ukiangalia vizuri suala la mfumo kandamizi dhidi ya waislamu ni ya kihistoria.
 
Mwl Nyerere alitaza mambo ya ukabila na Udini labda kwa bahati mbaya ulikua hujazaliwa ndyo maana ukakinzana nakauli yake vingnevyo umeamua kumpuuzia
 
thibitisha lini CAG alishawahi kukagua Fedha zinazoenda kwa Kanisa kama zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa wakati Sect 43 ya Katiba inampa Nguvu,mamaka na wajibu wa Kukagua kila Shilingu ya serikal inayokwenda kwenye matumizi!

Ni lazima uwe na uhakika kuwa pesa ya mlipa kodi wa Tanzania inakwenda "kanisani",

Thibitisha kwanza kama pesa ya uuma inakwenda kanisani kwa misingi ipi iliyokusudiwa?
 
We jamaa una chuki sana na Wakristo na Ukristo. Lakini chuki zako zitakuua bure wakati hao unawaowachukia na kuwadharau wakiendelea kudunda na kula raha zao. Bob Marley alipata kusema "Who Jah (GOD) bless no one can curse".

By the way Waislamu sio Tanzania ni karibu Duniani kote wanalalamika, sijui na Somalia ni mfumo Kristo???

Sio uwanja wa Matusi, 'Mtafiti' mwenyewe Yericko tunajadiliana nae kwa Amani, kila usichopenda kusikia sio Chuki hili ni jukwaa la kuthubutu kusikia usiyotegemea, Wapi tumeweka chuki? Tunajadili ya Tanzania Ukitaka ya Somalia anzisha Thread ntakuja kujadiliana na wewe Vizuri tu, Ila usije ukasema tena ni Chuki ni Mjadala huru tu, ukiwa hupendi kusikia usiyopenda uwe mwangalifu kufungua Thread, Wewe ndio uupendi Ukristo ndio maana umenipa Mistari ya Mvuta Bhangi badala ya Andiko la Biblia!
 
Huu utafiti wako sijui umeufanya wapi naona umejaa maneno matupu bila ushahidi wowote wa kitakwimu kutoka kwenye vyanzo mbali mbali...

Hapa unatueleza tu kienyeji hausemi hao wanasiasa uliwahoji maeneo yapi, hauna hata mfano mmoja ni wanasiasa wa aina gani uliowahoji japo kwa majina machache.

Nadhani hawa ni wachache ingekuwa vizuri ungetutajia majina yao.

Hapa naona unazidi kuzama kwenye tope zito na hizi tafiti zako haiwezekani Dar es Salaam, ofisi za serikali ziwe na Waislam 492,238 halafu Wakirsto 384,700.

Hebu soma chini hapa majibu ya serikali bungeni.

Huu utafiti una vituko vingi sana, kariakoo nzima kuna maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine, wakati Wakinga wamejaa kariakoo na wengi wao hawana dini kabisa.

Cc: THE BIG SHOW CHAMVIGA, ZeMarcopolo,

Yericko ni mzee wa story za kijiweni. Mara nyingi huwa hayuko serious ila watu wanashindwa kumuelewa. Tatizo lake anafanya utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.

Kusema kuwa jiji la Dar es Salaam lina watumishi wa umma laki nane ni UTOTO. Kama ingekuwa hivyo basi nchi yetu isingekuwa na tatizo la ajira kabisa. Kwa lugha nyingine ni kwamba Yericko anasema Dar es Salaam kila mtu aliye kwenye umri wa kuajiriwa ameajiriwa na serikali. This is nonsense...
 
Nilipofungua huu uzi,na kuusoma kwa kina
Na nilipomsoma mleta uzi mwenyewe,weledi wake,vyanzo vyake vya utafit,historia yake,
uongo wake na mengineyo mengi wala sikusumbuka kumjibu,
Mengi yameshaelezwa humu ndan,anachokifanya yeye ni marudio tuh ya yale ambayo tayari yalishasemwa humu,
Ni huyu aliekaanzisha uchochez wa Moh Said na mwshowe akaishia kuumbuka na kudharaulika hadi kufikia hatua ya kuomba radhi jukwaa hili,
Mods huwa wakati mwingine nawashangaa sana,sijui kwanin huyu bwana mdogo wanampa credit zisizo zisizostahili,taarifa zake mara nyingi zinakua hazina uhalisia na wala data zake hazinaga uthibitisho,
Kila kitu kilishasemwa huko nyuma,sion umuhim wa kuendelea kuyazungumza yale yale,naamin katika uzi huu utaumbuliwa tena na kila mwenye akili timamu atajionea uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Kwa research yake hii hata kama ametumwa basi atadhaurika sana na waliomtuma. Hata mjinga anaesikia sikia dhana ya mfumo kristo kwa majibu hayo hawezi kushawishika.Dhana ya mfumo kristo ni pana sana mkuu yericko nyerere. Research yako tata na sample space yako pia ni utata mkubwa. Nilitaraji ungechukua mawazo ya wanaodai tanzania kuna mfumo kristo ila umefanya blah blah zako halafu unaziita research.
Ukiangalia vizuri suala la mfumo kandamizi dhidi ya waislamu ni ya kihistoria.

Naomba nisiende mbali zaidi,

Hebu nieleze Mfumo kristu kwa Tanzania upo wapi na unafanyaje kazi?
 
Ni lazima uwe na uhakika kuwa pesa ya mlipa kodi wa Tanzania inakwenda "kanisani",

Thibitisha kwanza kama pesa ya uuma inakwenda kanisani kwa misingi ipi iliyokusudiwa?

Inaonekana hata MOU iliyosainiwa na Edward Lowassa na Professa Mahalu 1992 hujawahi kuisoma kwa kina, Huu si muda wa kukanusha Serikali kulipa Kanisa mamilion, Tayar hati ya Mkataba ipo Mikononi mwa wapinga Mfumo Kristo, Serikali ina mkataba na Kanisa na inawapa fedha kuendesha baadhi ya shughuli, Swali walipa kodi tunajuaje matumizi kama yanaenda kama yalivyokusudiwa? Nikikwambia hizo fedha zinabadilishiwa matumizi au hazitumiki zote kama ilivyokusudiwa utasemaje maana hakuna feedback ya ukaguzi?
 
Naomba nisiende mbali zaidi,

Hebu nieleze Mfumo kristu kwa Tanzania upo wapi na unafanyaje kazi?

We mkubwa msumbufu na sijui unafaidikaje na usumbufu huu. Wewe si umesema umeongea na ILUNGA, MOHAMED SAID, NA MSELEM hata sijui umeongea nae nini shk wa watu. Wote kama haujapata wakisema mfumo kristo nini makusudio yake rudi ukasome tena uzi wako wa uchochezi wa MS na dhihaka kwa wapigania uhuru.
 
Kwa research yake hii hata kama ametumwa basi atadhaurika sana na waliomtuma. Hata mjinga anaesikia sikia dhana ya mfumo kristo kwa majibu hayo hawezi kushawishika.Dhana ya mfumo kristo ni pana sana mkuu yericko nyerere. Research yako tata na sample space yako pia ni utata mkubwa. Nilitaraji ungechukua mawazo ya wanaodai tanzania kuna mfumo kristo ila umefanya blah blah zako halafu unaziita research.
Ukiangalia vizuri suala la mfumo kandamizi dhidi ya waislamu ni ya kihistoria.

Eti kafanya research?
Anadiriki kusema anafanya research kuhusu mfumo kristo kisha anaacha kwenda waathrika?anaachaje kwenda pwani?anaachaje kwenda lindi?anaachaje kwenda mtwara?anaachaje kwenda tabora?na kadhalika,
Anaiachaje BAKWATA ambayo ilitengenezwa mahu'susi kwa ajili ya kupenyeza mambo yao humo?anawezaje kuuzungumzia mfumo kristo huku akiacha kuangaza viambata vyake?
He cant be serious,as usual mtu aliekosa la kufanya siku zote hujishughulisha na mambo ya kupoteza muda kama hivi,
Sisi kama waislam tunaijua historia yetu,na tunapozungumza hii hali haina maana ya kwamba tuna chuki na watu wa iman zingine la hasha,tuna chuki na huu mfumo ambao uliasisiwa kwa madhumuni maalum kabisa ya kuratibu mambo yanayogharim iman ya upande flan,sijajua nin hasa maana ya uzi huu,na nin hasa mantik ya mleta uzi,
ni kwamba kusema kwamba uhalisia haujui au?
Ukweli siku zote utasemwa tuh,na ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa na kujengewa propaganda za kuupindisha,
Mambo yote kwa sasa yapo wazi,na wenye akili zao timamu na wafuatiliaji wa mambo wanaufaham uhalisia huo.
 
Yericko ni mzee wa story za kijiweni. Mara nyingi huwa hayuko serious ila watu wanashindwa kumuelewa. Tatizo lake anafanya utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.

Kusema kuwa jiji la Dar es Salaam lina watumishi wa umma laki nane ni UTOTO. Kama ingekuwa hivyo basi nchi yetu isingekuwa na tatizo la ajira kabisa. Kwa lugha nyingine ni kwamba Yericko anasema Dar es Salaam kila mtu aliye kwenye umri wa kuajiriwa ameajiriwa na serikali. This is nonsense...

Mkuu wangu,

Nikujuze tu kuwa mpaka mwezi uliopita yani mwezi wa nane, Dar es Salaam ilikuwa inakadiriwa kuwa na wakaazi 5.1 milioni,

Sasa ukiona watumishi wa umma laki 8 ni maajabu basi mimi nitakuona wewe ndio wa maajabu zaidi,
 
Hongera sana Yeriko. Kila anapoijua KWELI, mwanadamu huzidi kuwa huru. Kweli huweka watu huru. Ni hatua kubwa kufungua baadhi ya watanza from beliefs and attitudes.
 
Hongera sana Yeriko. Kila anapoijua KWELI, mwanadamu huzidi kuwa huru. Kweli huweka watu huru. Ni hatua kubwa kufungua baadhi ya watanzania from wrong beliefs and attitudes.
 
Huku ni kulidhalilisha jukwaa letu makini la Intellingence.

Hivi wanaukumbi mnakubaliana kweli watumishi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wengi ni Wakirsto.

Tafiti hizi kweli ni kituko.

Anawadanganya kwa utafiti ulio jaa chuki kwa uisilaamu na wanamshangilia

Hizi chuki za kidini hazitusaidii watz.
Hali ni mbaya kwa dini zote
 
Inaonekana hata MOU iliyosainiwa na Edward Lowassa na Professa Mahalu 1992 hujawahi kuisoma kwa kina, Huu si muda wa kukanusha Serikali kulipa Kanisa mamilion, Tayar hati ya Mkataba ipo Mikononi mwa wapinga Mfumo Kristo, Serikali ina mkataba na Kanisa na inawapa fedha kuendesha baadhi ya shughuli, Swali walipa kodi tunajuaje matumizi kama yanaenda kama yalivyokusudiwa? Nikikwambia hizo fedha zinabadilishiwa matumizi au hazitumiki zote kama ilivyokusudiwa utasemaje maana hakuna feedback ya ukaguzi?

Mkuu kuna sehemu ndogo tu ndio inayokushinda kung'amua ndugu yangu,

Hakuna mtanzania anaekataa kufahamu uwepo wa MoU,

Narudia tena kukufunza, MoU ile ni mahususi kati ya Kanisa Katoliki na Ujerumani,

Serikali imeshiriki kama shahidi tu,

Pesa yote itokayo kwa wajerumani hao huratibiwa na serikali ya Tanzania,

HAKUNA hata shilingi 1 ya mlipakodi wa nchi hii inayokwenda kwenye kanisa kwa mgongo wa MoU!

Acheni kupoteza mda weni na raslimani afya zenu,

Kinachoitwa "ruzuku" hupewa Waislamu na Wakristu wote wenye taasisi za kijamii kama shule na hospitali,

Uwingi wa ruzuku hutegemea na uwingi wa huduma zako!

Kasomeni ndugu zangu acheni kubebewa akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom