mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
wenzetu wamejaaliwa manung'uniko kila uchao
tuwaombee, maana hata raisi analikiri hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenzetu wamejaaliwa manung'uniko kila uchao
hiyo link itakua imekua doctored baada ya kelele kuzidi kuhusu mou,lakini ule mkutano wa mou pale moshi ulikua na lengo la serikali itoe ruzuku.hata jk alipojibu kuhusu swala hilo hakukanusha zaidi ya kusema ombeni na nyinyi.MOU ni mpango wa kanisa na serikali na uko na nchi zingine kama nigeria,zambia,namibia,US,UK,Uganda etc.Nimeweka hapo juu link ya MOU hebu nenda isome usipoteshe jamii hapa,
Kwamtu anasoma na kujenga hoja wala hahangaikitatizo huweki hata link za kusapoti maneno yako,na unataka watu waamini,sikubaliani na hiyo hesabu.
Mkuu wangu,
Nikujuze tu kuwa mpaka mwezi uliopita yani mwezi wa nane, Dar es Salaam ilikuwa inakadiriwa kuwa na wakaazi 5.1 milioni,
Sasa ukiona watumishi wa umma laki 8 ni maajabu basi mimi nitakuona wewe ndio wa maajabu zaidi,
hiyo link itakua imekua doctored baada ya kelele kuzidi kuhusu mou,lakini ule mkutano wa mou pale moshi ulikua na lengo la serikali itoe ruzuku.hata jk alipojibu kuhusu swala hilo hakukanusha zaidi ya kusema ombeni na nyinyi.MOU ni mpango wa kanisa na serikali na uko na nchi zingine kama nigeria,zambia,namibia,US,UK,Uganda etc.
NONSENSE ALL THE ABOVE, just think about what you do for your country and not what country made for you, about listing TYCOONS ni pumba isiyo na maana yoyote, also thinking about religious in diplomacy reflect failure of minds for development, in Islamic or Christianity there is no DEVELOPMENT {NEVER}, in Tanzanians is where we can change, that'll , READ MORE, LEARN MORE CHANGE THE GLOBE
Twende hatua kwa hatua Yericko.
Watumishi lako 8 ni asilimia 16 ya watu wote including watoto, wazee na wagonjwa.
Do you have a break down ya unemployment katika jiji la Dar es Salaam?
Hao asilimia 16 unasema wameajiriwa na serikali je asilimia ngapi wamejiajiri wenyewe au kuajiri na makampuni binafsi, ofisi za ubalozi au NGOs?
Twende sasa kisomi, tuache story ya kijiweni kama za Lebanon. Mambo ya waislamu wangapi na wakristo wangapi mimi wala siko interested nayo, mimi niko interested na idadi kamili ya watu wa Dar es Salaam wenye ajira. Asilimia 16 unasema wameajiriwa na serikali. Haya breakdown asilimia walioajiriwa na wengine then tuambie ni watu wangapi walio na umri wa kuajiriwa ambao hawajaajiriwa.
Ukifanya hivyo utakuta Dar es Salaam unemployment ni 0,5% do you agree kwamba serikali ya CCM imehakikisha kuwa Dar es Salaam unemploymen ni ndogo kuliko majiji yote duniani? Maana that is what you are saying, bila kujijua.
Haha,hebu bishana na link ya kcmc hapo juu.
Nina hakika aga khan hospital hawapati ruzuku kwani hawamo kwenye mkataba wa MOU.
It is true. The guy has just tried to mislead us for the benefit of his party Chadema otherwise hana kitu ni kilaza tu anayejitahidi kuandika sentensi nyingi.
Vema sana,
Sasa unaonyshesha angalau unachembe za kujenga hoja,
Hoja yako ni nzuri, lakini inamapungufu ambayo yatafanya nikuombe uirekebishe,
Mimi sikujihusisha na idadi ya wakazi wa Dar, bali nilijihusisha na wanaotumikia serikali na wale wanaofanya biashara,
Kwahiyo hoja yako itembee humo,
Hoja yako ilivyo, maana yake inaniamuru nirejee mtaani kutafuta hesabu za haki,
Yericko acha porojo,
Unajua maana ya mtumishi wa umma?
Wizara ya Utumishi haina takwimu za wafanyabiashara nchini. Hapo unaongea UONGO.
Naomba MODs waangalie uhalali wa hii thread kuendelea kuwepo.
Hii ndio population structure ya Dar es Salaaam by age.
0-14 years: 44.8%
15-24 years: 19.4%
25-54 years: 29.3%
55-64 years: 3.5%
65 years and over: 2.9%
Yericko anasema Dar es Salaam kuna watu mil. 5. At the same time anasema watu laki 8 wamejiriwa na serikali Dar. es Salaam ambayo ni sawa na kusema asilimia 16 ya watu wa Dar es Salaam wameajiriwa na serikali.
Ukiangalia age structure hapo unaona kwamba zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wako nje ya umri wa kuajiriwa kwa kuwa asilimia 44.8 ni watoto, asilimia 2.9 ni wazee, jumla ni asilimia 47.7. Ukijumlisha na wale wanaosoma shule inakuwa above 50%. Lets estimate it at 50%.
Kwa hessabu hizo inamaanisha watu wanaotakiwa kuajiriwa Dar es Salaam ni 2,5 mil. Kwahiyo kama laki 8 wameajiriwa na serikali maana yake kwamba serikali imeajiri asilimia 32 ya wakazi wa Dar es Salaam.
Katika jiji la Dar es Salaam watu wengi zaidi wameajiriwa na makampuni binafsi na kujiari wenyewe kuliko wale walioajiriwa na serikali. Kwahiyo kama serikali imeajiri watu laki nane, ni sahihi kukadiria kuwa watu mil 1,6 wameajiriwa na makampuni binafsi na kujiairi, kuajiriwa na ofisi za balozi na mahsirika ya kimataifa pamoja na NGOs.
Kwahiyo jumla utaona kwamba watu walioajiriwa jijini Dar es Salaam ni 2,4 mil. ambao ni asilimia 96 ya wakazi wa jiji¨!!!
Yericko ni mtu anayependa sana story za kijiweni kama ile story yake pendwa ya nchi ya Lebanon. Hili chapisho lake pia ni hadithi ya kijiweni, haina uhalisia.
Takwimu rasmi zilizopo zinaonyesha kuwa jiji la Dar es Salaam lina unemployment rate ya 45% lakini Yericko anasema ni 4% na hivyo kilifanya jiji la Dar es Salaam kuwa jiji lenye rate ndogo ya unemployment kuliko majiji yote duniani!
Nadhani Yericko anapaswa kwanza kujifunza maana ya neno utafiti halafu ndio aje kuandika hizi story zake za kijiweni hapa JF.
Zaidi ya yote nimeshangaa kuona hadithi hii ya kijiweni inawekwa kwenye jukwaa la JF inteligence! This is ridiculous...
Chanzo cha takwimu hizi ni kipi?
Waeleze wanajamvi ulipozitoe wajionee wenyewe kama ni credible sources,
Hahahaa mkuu punguza mulkari twende taratibu hoja kwa hoja!
Vema sana,
Sasa unaonyshesha angalau unachembe za kujenga hoja,
Hoja yako ni nzuri, lakini inamapungufu ambayo yatafanya nikuombe uirekebishe,
Mimi sikujihusisha na idadi ya wakazi wa Dar, bali nilijihusisha na wanaotumikia serikali na wale wanaofanya biashara,
Kwahiyo hoja yako itembee humo,
Hoja yako ilivyo, maana yake inaniamuru nirejee mtaani kutafuta hesabu za haki,
Unakurupuka sana katika kujenga hoja ndugu,
Tangu lini mfanyabiashara akawa chini ya wizara ya utumishi wa umma?
Mfanyabiashara kwake ni TRA na Wizara ya viwanda na biashara
Sasa hivi lala, ila kesho naamka na wewe mpaka darasa likuingie mkuuYericko leo umepata kijiti cha wapi?
Unasema umejihusisha na wafanya biashara na kwamba takwimu umezipata wizara ya Utumishi, halafu wewe huyohuyo unasema takwimu za wafanyabiashara hazipatikani wizara ya utumishi!
Kaa chini, kunywa glass ya maji kwanza ili ku dilute kijiti, halafu ndio uje kuendelea na mjadala.