UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Wewe lala tu mkuu, lakini ukija uje na numbers. Lets make sense by numbers not empty words like the Lebanon "kistone" story...

Mkuu,
Huyu ni wa kumpuuza tuh,
Watu wenye akili zao Timamu huwez kuwaona wanakuja kumsapoti upuuz wake huu,
Haeleweki,analala na hili anaamka na lile,
Hizi ni dalili za mtu aliekosa kazi ya kufanya,
Tokea ameumbuliwa kuhusu uongo wake wa kutumia identity wa mwlm Nyerere humu jukwaani basi anafanya kila namna kujenga identity yake,lakin mbaya zaid anazid kuonesha ujinga wake kwa kuwa mjinga siku zote hafich ujinga wake,
Huyu ni fundi mchundo tuh,alisema hiyi ndio taaluma yake,weledi wa kufanya utafiti yeye ameutoa wapi?
Amepuuzwa jukwaani,amepuuzwa huko uraiani alikokawa anafanya utapeli,
Kwa sasa amebakia hana mbele wala nyuma,
Na ni bora angekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha zaid kama hivi anavofanya.,
Mimi naona tunapoteza muda wetu bure kuzungumza na huyu kanjanja,njaa kali..
Mpuuzi dawa yake ni kumpuuza tuh.
Sasa hiyo aliyoifanya ni aina gani ya research?
Hata principles of conducting good research hazifaham,atawezaje sembuse kuandika?
Ni heri ukose mali,kuliko kukosa elimu na akili kama huyu jamaa
 
Sasa hivi lala, ila kesho naamka na wewe mpaka darasa likuingie mkuu

Nani wa kumpa Darsa ww?
Hivi huoni ni kwa jins gani umepuuzwa?
Ila ni vizur ukaendelea hiv hiv ili kila mmoja azid kuufaham ukanjanja wako,
Mtu mwenye akili timamu hawez kuja mbele mbele na ujinga huu uliouweka hapa jukwaani,
Unazungumza mfumo kristo unaujua au unauskia?
Unajua position ya BAKWATA katika hilo unalolisema?unajua muasisi ni nani?
Na kwa nini aliiasisi?
Unajua malengo yake yalikua nin?
Tuambie ni chombo gani kiliasisiwa enz hizo rasmi na serikali ili kije kufanya mipango ya kuratibu mambo ya iman za watu wengine on behalf,tuambie,
Hivi kama huna la kusema ya nin usikae tuh kimya?kwanin unapenda sana kuja kuchokonoa hisia za watu na kutaka kujenga farki katika mambo ambayo yako wazi?
Pishi lako la ujinga ni kubwa sana,
Kwa ufupi wewe unazid kujionesha jins ulivo M.P.U.M.B.A.VU..
Wenzako huficha wehu wao na kuonesha weledi wao,ajabu wewe unakuja mbele mbele kuonesha uzuzu wako...
 
Daaah
CCM hamnazo, mmepka data ili kupambana na udini?!! Nyooooo
Waoslam tumechoka kuwekwa nyumaa.... Mm nna MBA finance, niko kijwen! Wakristu walshasoma zaman wakala vtengo na watoto wao wanapetaaa!!!

Sku hz muislamu ukisoma sana ni kaz bureeeeeee!!!! Nyoooooooo.....
 
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.

Wanapewa na na nani mkuu?
 
Daaah
CCM hamnazo, mmepka data ili kupambana na udini?!! Nyooooo
Waoslam tumechoka kuwekwa nyumaa.... Mm nna MBA finance, niko kijwen! Wakristu walshasoma zaman wakala vtengo na watoto wao wanapetaaa!!!

Sku hz muislamu ukisoma sana ni kaz bureeeeeee!!!! Nyoooooooo.....
CCM wanaingiaje katika utafiti huu?

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wanaoyasaka mageuzi kwa udi na uvumba katika nchi hii,

Mageuzi hayo ni pamoja na kuondoa dhana hizi za kufikirika za mfumo kristu zinazoweza kuliingiza Taifa pabaya!
 
Imagine km "...mfumo kristu haukubuniwa...".Baada ya ile dhan ya kugombea uhuru, waislam wangepati wapi pa ku black mail taifa?waoi wangechoma makanisa kirahisi tuu na kesho yake serikali ikaenda wasikiliza ktk secular gaovernment..?imagine bila mfumo Christu waislam wangewaambiaje watoto wao waliowaaminisha kuwa dini yao ndio ya kweli,elimu yao ndio superior na swala yao hujibiwa na allah...halafu ufaulu wa wakristu, na mahudhurio yao kuwa mkubwa?

Imagine bila hiyo:wangewaambiwa nini watoto kuhusu uhaba wa shule, udhaifu wa taasisi zao kiuongozi, kushindwa kwa mengi bila backup ya office za serikali.......leo si ktk afya, elimu pekee waislam bila serikali inayobebwa na Ukristu life yao itakuza impossible........hata mabilionea wa kiislam hali zao hubadilika sana mfumo islam ukibanwa...yule jamaa wa home shopping centre km kungekuwa na serikali isiyo ya kiislam, na hakuna rushwa asingefikia hapo.ni dunia nzima..hata india waislam wanalili wapewe fursa..sawa.Na waliopata huwa wanafanya unwise support kwa wenzao.Wauza unga ,majangili wa porini, na wengine anaofanya bishar azisizo na kodi wengi ni waislam...pamoja na kutochangia kodi ktk dili haramu na kujuana na ikulu, na wazee wa chama..bado kodi itokayo kwa wakristu wanaofanya kazi rasmi..bado ktk mgao waislam ndio wanafaidi ..kuanzai kuokolewa ktk utapeli wa hija, kulipia bakwata, kulipia elimu,afya, na hata ajir amakazini zinazotolewa kidini.

Uliwahi sikia Quran inajitetea vipi kuhusu mafanikio ya Wakristu......kuwa ni lifists ,waponda starehe.....kwa ujumla mchango wa waislam ni mdogo kuliko matumizi yao ktk kodi ya nchi...wapo wengi wasio na bishara zilizorasimishwa ,na kulipa kodi, wamezaa watoto wengi sana kw akisingizio kuwa wana uwezo wa kuhudumia kw avile wana mali ila wakati wa kusoma husomea hela ya makafiri ambao wana watoto wachache, na wanalipa kodi...na hawatumii udini

Hakuna ukweli hapo. Utafiti mzima ni upuuzi mtupu. Walipa kodi wakubwa wa nchi hii ni waislam. Makampuni ya Bakhressa pekee yana mchangowa mabilioni katika kodi bila kuwajuisha makampuni ya mafuta ambayo % kubwa yanamilikiwa na waislamu. Kama huu ndio utafiti unaonyesha namna tulivyoshindwa kila pahali
 
Haihitaji kuwa mtaalamu wa hesabu ndipo ubaini nichokusudia,

Ukiangalia hata kwa jicho la mbali tu utabaini kuwa uchumi wa nchi hii kwa kiwango fulani umweshikwa na watu gani,
 
Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika, Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana.

Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake.

Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili.

Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa.

Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!

Swadaqta
 
Mkuu wangu,

Nikujuze tu kuwa mpaka mwezi uliopita yani mwezi wa nane, Dar es Salaam ilikuwa inakadiriwa kuwa na wakaazi 5.1 milioni,

Sasa ukiona watumishi wa umma laki 8 ni maajabu basi mimi nitakuona wewe ndio wa maajabu zaidi,
Dar es Salaam, haina watu milioni 5.1.

Sijui hizi data zako unaziokota wapi.

Dar es Salaam kuna wakazi 48,261,942. Hizi data kutoka serikalini.
 
Yericko leo umepata kijiti cha wapi?

Unasema umejihusisha na wafanya biashara na kwamba takwimu umezipata wizara ya Utumishi, halafu wewe huyohuyo unasema takwimu za wafanyabiashara hazipatikani wizara ya utumishi!

Kaa chini, kunywa glass ya maji kwanza ili ku dilute kijiti, halafu ndio uje kuendelea na mjadala.

Ungesoma vizuri uzi huu tangu mwanzo, usingeuliza swali hili. Yeriko ameeleza sehemu mbambali alikotoa hizo takwimu zake. Watumishi wa umma katoa utumishi, wafanyabiashara kasema katoa brela na tra; sasa kubishana kunatokea wapi?

Marcopolo, hebu weka chanzo cha takwimu zako za mgawanyo wa umri na idadi ya watu wa Dar ili niweze kudadavua huu utafiti kwa umakini zaidi!
 
Hii ndio population structure ya Dar es Salaaam by age.

0-14 years: 44.8%

15-24 years: 19.4%
25-54 years: 29.3%
55-64 years: 3.5%
65 years and over: 2.9%

Mkuu ze marcopolo, naomba chanzo cha takwimu hizi tafadhali!
 
kwanza hongera sana kwa utafiti wako ndugu yangu Yericko
huwezi kumuondolea INFERIORITY COMPLEX mtu -------- coz -------- hata aje YESU KRISTO mwalimu wa walimu hataelewa bali mjinga ANAELIMIKA, kumradhi lakini ndo ukweli japo mchungu waislam wengi ni mambulula sana -wamekaririshwa dini na wakaimeza ivo ivo,
-wamekaririshwa kuwa MUISLAM NDUGU YAKE MUISLAM na wakaimeza ivo ivo na ndio sababu wanatuchukia sana sisi WATEULE WA MUNGU(WAKRISTO) bila sababu ya masingi
-wamekaririshwa kuwa adui yao mkubwa ni wakristo bila kuambiwa kwanini wanatuchukia
-wamedanganywa kuwa nchi yetu inatawaliwa na "MFUMO KRISTO" wameamini na kusahau kuwa RAIS,MAKAMU WA RAIS,MARAIS WOTE WA ZANZIBAR,IGP,MKUU WA TISS,AFANDE KOVA NA MAWAZIRI WALIO WENGI NI WAISLAM- huu ni umbumbu na upumbavu wa kujitia uchizi wa kutokujua
=mtu wa namna hii huwezi kumkomboa hata kidogo
-mtu anayedhani akivaa bomu akaua watu kanisani ataenda peponi direct na atapatiwa wasichana mabira 72 huyu ni -------- ambaye anawaza tu ngono ivo hawezi kuelimika hata iweje

mytake:NDUGU ZANGU WAKRISTO TUFUNGE TUKISALI NA KUWAOMBEA HAWA WENZETU WAEPUKANE NA UPUMBAVU NA MUNGU ATAWAPONYA TU.AMEN

NB:UPUMBAVU SI TUSI BALI NI HALI YA MTU KUSHINDWA KUELEWA NA KUCHAMBUA MAMBO SAWASAWA

JAH BLESS TANZANIA

Nini kifanyike kuwaondolea hii imferiority complex?
 
Ungesoma vizuri uzi huu tangu mwanzo, usingeuliza swali hili. Yeriko ameeleza sehemu mbambali alikotoa hizo takwimu zake. Watumishi wa umma katoa utumishi, wafanyabiashara kasema katoa brela na tra; sasa kubishana kunatokea wapi?

Marcopolo, hebu weka chanzo cha takwimu zako za mgawanyo wa umri na idadi ya watu wa Dar ili niweze kudadavua huu utafiti kwa umakini zaidi!
Teh teh teh teh! Uzi uanzishe wewe halafu unajijibu mwenyewe, Multiple ID's at work.
 
Yeriko hizi data si za kweli hazijafanyiwa utafiti ila zimetoka kichwani kwako kwaajili ya kushawishi watu waamini unachosema, unasema dsm pekee ina waajiriwa wa serikari zaidi ya 876000, huo ni uongo kwani sekta yenye watumishi wengi wa serikali ni elimu ambao idadi yao ni zaidi ya nusu ya watumishi wote tz na idadi yao haifiki 600000, hii maana yake ni kuwa watumishi wa serikari tz nzima haizidi 1200000, pia majina ya wanafunzi wa kiislam na kikiristu umeyachambuaje wakati zimeandikwa namba. Pia utafiti sio kukusanya takwimu pekee bali pia inahusisha uchambuzi wa takwimu na mambo mengine mengi, hichi ulichoandika hatuwezi kuita utafiti ila takwimu zisizo na ukweli wowote
 
Kwa mtazamo wa kiakili na kiyakini na great thinker au mawazo ya hali ya juu mada hii ni ngumu mno kuielewa na kuijibu kisha eti kurudisha na kusema "tuwaombee hawa wenzetu.."
Mimi kwa uoni wangu na wakitaalamu mchangiaji huyo niliekunakili hapo chini siyo mkweli na unajaribu kupumbaza wa tz wenzako..lkn pia unaonesha kutokuwa na ueledi wa kutambua kitu kinachoitwa "good governance" tuyaache hayo utaenda na kufuatilia haya on your time..(home work)
Back to the topic..
Ukitaka kuongelea mfumo kristo nini au ni kwanini unapingwa na kupigwa vita..nchini na duniani..ni lazima urejeleshe akili yako kwanza kuwatafuta wapingaji kisha kutafiti ni kwanini unapingwa huo mfumo lkn pia yakupasa uwe na ueledi wa (jamii) na (miundo) yake au mifumo..lakini pia ujue tabia na namna ya uongozi..then ndo u argue with this matter.na sio kukurupushwa na "attitude" ambazo hazi "logic" na mifano yako isiyo na tija..
Kama utakuwa na akili na unaelimu ya kuchangia humu kwa wenye akili timamu nenda kozi ukafunze hayo maneno niliyo ya fungia..kwani siri ya machafuko ya amani na madhila ya huu mfumo yamo huko..hii kwa wewe na walewote ambao wana mtazamo hasi na iman ya kiislamu..

Ilinisiwachoshe wasomaji..ningeomba uelewe ya fuatayo..kitaaluma ..uislamu hauko hauongozwi na hayo majina ulotaja hapo..ukadhani ndo solutions..kingine jaribu kusoma btn the line usihiwekee mipaka ktk elimu...usiwe mtu wakuongozwa na mahubiri ya uchochez..ila natumai baada ya kuingia humu zizini tutakufunza ..faslafa kuanzia kwakina galen..mpaka leo..
Kwaherini wajukuu zangu kazi njema..

kwanza hongera sana kwa utafiti wako ndugu yangu Yericko
huwezi kumuondolea INFERIORITY COMPLEX mtu -------- coz -------- hata aje YESU KRISTO mwalimu wa walimu hataelewa bali mjinga ANAELIMIKA, kumradhi lakini ndo ukweli japo mchungu waislam wengi ni mambulula sana -wamekaririshwa dini na wakaimeza ivo ivo,
-wamekaririshwa kuwa MUISLAM NDUGU YAKE MUISLAM na wakaimeza ivo ivo na ndio sababu wanatuchukia sana sisi WATEULE WA MUNGU(WAKRISTO) bila sababu ya masingi
-wamekaririshwa kuwa adui yao mkubwa ni wakristo bila kuambiwa kwanini wanatuchukia
-wamedanganywa kuwa nchi yetu inatawaliwa na "MFUMO KRISTO" wameamini na kusahau kuwa RAIS,MAKAMU WA RAIS,MARAIS WOTE WA ZANZIBAR,IGP,MKUU WA TISS,AFANDE KOVA NA MAWAZIRI WALIO WENGI NI WAISLAM- huu ni umbumbu na upumbavu wa kujitia uchizi wa kutokujua
=mtu wa namna hii huwezi kumkomboa hata kidogo
-mtu anayedhani akivaa bomu akaua watu kanisani ataenda peponi direct na atapatiwa wasichana mabira 72 huyu ni -------- ambaye anawaza tu ngono ivo hawezi kuelimika hata iweje

mytake:NDUGU ZANGU WAKRISTO TUFUNGE TUKISALI NA KUWAOMBEA HAWA WENZETU WAEPUKANE NA UPUMBAVU NA MUNGU ATAWAPONYA TU.AMEN

NB:UPUMBAVU SI TUSI BALI NI HALI YA MTU KUSHINDWA KUELEWA NA KUCHAMBUA MAMBO SAWASAWA

JAH BLESS TANZANIA
 
kwanza hongera sana kwa utafiti wako ndugu yangu Yericko
huwezi kumuondolea INFERIORITY COMPLEX mtu -------- coz -------- hata aje YESU KRISTO mwalimu wa walimu hataelewa bali mjinga ANAELIMIKA, kumradhi lakini ndo ukweli japo mchungu waislam wengi ni mambulula sana -wamekaririshwa dini na wakaimeza ivo ivo,
-wamekaririshwa kuwa MUISLAM NDUGU YAKE MUISLAM na wakaimeza ivo ivo na ndio sababu wanatuchukia sana sisi WATEULE WA MUNGU(WAKRISTO) bila sababu ya masingi
-wamekaririshwa kuwa adui yao mkubwa ni wakristo bila kuambiwa kwanini wanatuchukia
-wamedanganywa kuwa nchi yetu inatawaliwa na "MFUMO KRISTO" wameamini na kusahau kuwa RAIS,MAKAMU WA RAIS,MARAIS WOTE WA ZANZIBAR,IGP,MKUU WA TISS,AFANDE KOVA NA MAWAZIRI WALIO WENGI NI WAISLAM- huu ni umbumbu na upumbavu wa kujitia uchizi wa kutokujua
=mtu wa namna hii huwezi kumkomboa hata kidogo
-mtu anayedhani akivaa bomu akaua watu kanisani ataenda peponi direct na atapatiwa wasichana mabira 72 huyu ni -------- ambaye anawaza tu ngono ivo hawezi kuelimika hata iweje

mytake:NDUGU ZANGU WAKRISTO TUFUNGE TUKISALI NA KUWAOMBEA HAWA WENZETU WAEPUKANE NA UPUMBAVU NA MUNGU ATAWAPONYA TU.AMEN

NB:UPUMBAVU SI TUSI BALI NI HALI YA MTU KUSHINDWA KUELEWA NA KUCHAMBUA MAMBO SAWASAWA

JAH BLESS TANZANIA

Astonishing,
Very Astonishing Claims to make,
Mods watueleze,hapa ni mahala rasmi kwa kuja kukejeli dini yetu waislam?uzi huu umeanzishwa ili uje kukejeli iman za watu?
Na siku zote huwa nawauliza Mods kwa vipi huwa wanafumbia macho mambo ya kipuuz kama haya na kuja kuyafunga baadae ili hali inakua hisia za watu tayari zishaumizwa?
Huyu hapa anakuja kusema kwamba uislam ndio unasabababisha kila aina ya maovu na machafu kutokana na ahadi za mafundisho ya dini hii,hizi si ni dharau?

Wale wanaamrisha kufungisha ndoa za jinsia moja na ushoga ni waislam?
Wanaopigana vita uganda na Lord Resistance army kwa ishara ya kutetea amri kumi za mungu ni waislam?
waliovamia Iraq kwa kusema nchi hiyo ina weapons of mass destruction na uhusiano na alqaeda ni waislam?
Waliokaswagwa wanyarandwa makanisani na kuwatupa sadaka wauwawe kwenye ile genocide ni waislam?

Waliokuja kufanya biashara ya utumwa na kuwachukua millions of african people kwenda america na sehemu zingine tena kwa kusomewa vifungu vya maneno matakatifu ni waislam?

Analeta propaganda zake kwamba waislam wana miadi ya kuwaangamiza waamin wa iman zingine ili wapate malipo wapi anayatoa mambo haya,aangalie sehemu zilizo na waislam na zenye machafuko kisha aangalie mkono wa america ukoje sehemu hizo,
na aangalie sehemu zilizo na utulivu kisha apime kipi kinasababisha sehemu hizo kuwa ivo,

Lawama hizi za matusi kejeli na udhalilishaji mimi nawabebesha mods,kwa kuwa ndie ambao wanaruhusu watu kuja kujadili mambo ya kijinga na kipuuzi huku wakipuuzia,hebu jiulize nin mantik ya uzi huu,
Mtu mmoja mpuuz mpuuz na kila mtu anamfaham aje hapa na kusema ye kafanya research,research ipi,si ni huyu huyu alikuja kusema kapata ufadhili na ubalozi wa marekani kuandika mambo ya ugaidi,alisema haya hapa jukwaani na mara baada ya kubanwa na kuulizwa uhalisia akaishia kuuma uma maneno,ana credibility gani ya kusimama mbele yetu na kuzungumza utumbo wake hapa,
Ajabu kuna watu wanakuja mpongeza na kumwona wa maana kwa lipi?

Mtu anakuja kuongopea hata nasaba isiyo ya kwake ili aishi kwa utapeli mjin hapa,nani hajui kuwa huyu ni m'babaishaji tuh?
Anakuja kuongopa yeye ni C.E.0 wa kampuni ili hali ni fundi mchundo tuh?nani amuamin,
Hana elimu,hana kazi ya maana,kutwa kuchwa anashinda mitandaoni,sijui muda wa kujishughulisha anaupata wapi kama sio utapeli,
Sasa kama watu wamekosa vya kuzungmza wasianze kutaka kusababisha farki na chuki kwenye jamii,ni watu wapuuz tuh wanaweza kuwaza kwa akili fupi kama hizi.
 
Yeriko hizi data si za kweli hazijafanyiwa utafiti ila zimetoka kichwani kwako kwaajili ya kushawishi watu waamini unachosema, unasema dsm pekee ina waajiriwa wa serikari zaidi ya 876000, huo ni uongo kwani sekta yenye watumishi wengi wa serikali ni elimu ambao idadi yao ni zaidi ya nusu ya watumishi wote tz na idadi yao haifiki 600000, hii maana yake ni kuwa watumishi wa serikari tz nzima haizidi 1200000, pia majina ya wanafunzi wa kiislam na kikiristu umeyachambuaje wakati zimeandikwa namba. Pia utafiti sio kukusanya takwimu pekee bali pia inahusisha uchambuzi wa takwimu na mambo mengine mengi, hichi ulichoandika hatuwezi kuita utafiti ila takwimu zisizo na ukweli wowote

Kwanza nikuondolee mawazo yakuweka hisia zako kwanza bila utafiti,

Shule zipo Dar, wizara wapo Dar, Baraza lipo Dar,

Nini kitashindikana ikiwa umedhamiria kujua jambo ndugu yangu?
 
Astonishing,
Very Astonishing Claims to make,
Mods watueleze,hapa ni mahala rasmi kwa kuja kukejeli dini yetu waislam?uzi huu umeanzishwa ili uje kukejeli iman za watu?
Na siku zote huwa nawauliza Mods kwa vipi huwa wanafumbia macho mambo ya kipuuz kama haya na kuja kuyafunga baadae ili hali inakua hisia za watu tayari zishaumizwa?
Huyu hapa anakuja kusema kwamba uislam ndio unasabababisha kila aina ya maovu na machafu kutokana na ahadi za mafundisho ya dini hii,hizi si ni dharau?

Wale wanaamrisha kufungisha ndoa za jinsia moja na ushoga ni waislam?
Wanaopigana vita uganda na Lord Resistance army kwa ishara ya kutetea amri kumi za mungu ni waislam?
waliovamia Iraq kwa kusema nchi hiyo ina weapons of mass destruction na uhusiano na alqaeda ni waislam?
Waliokaswagwa wanyarandwa makanisani na kuwatupa sadaka wauwawe kwenye ile genocide ni waislam?

Waliokuja kufanya biashara ya utumwa na kuwachukua millions of african people kwenda america na sehemu zingine tena kwa kusomewa vifungu vya maneno matakatifu ni waislam?

Analeta propaganda zake kwamba waislam wana miadi ya kuwaangamiza waamin wa iman zingine ili wapate malipo wapi anayatoa mambo haya,aangalie sehemu zilizo na waislam na zenye machafuko kisha aangalie mkono wa america ukoje sehemu hizo,
na aangalie sehemu zilizo na utulivu kisha apime kipi kinasababisha sehemu hizo kuwa ivo,

Lawama hizi za matusi kejeli na udhalilishaji mimi nawabebesha mods,kwa kuwa ndie ambao wanaruhusu watu kuja kujadili mambo ya kijinga na kipuuzi huku wakipuuzia,hebu jiulize nin mantik ya uzi huu,
Mtu mmoja mpuuz mpuuz na kila mtu anamfaham aje hapa na kusema ye kafanya research,research ipi,si ni huyu huyu alikuja kusema kapata ufadhili na ubalozi wa marekani kuandika mambo ya ugaidi,alisema haya hapa jukwaani na mara baada ya kubanwa na kuulizwa uhalisia akaishia kuuma uma maneno,ana credibility gani ya kusimama mbele yetu na kuzungumza utumbo wake hapa,
Ajabu kuna watu wanakuja mpongeza na kumwona wa maana kwa lipi?

Mtu anakuja kuongopea hata nasaba isiyo ya kwake ili aishi kwa utapeli mjin hapa,nani hajui kuwa huyu ni m'babaishaji tuh?
Anakuja kuongopa yeye ni C.E.0 wa kampuni ili hali ni fundi mchundo tuh?nani amuamin,
Hana elimu,hana kazi ya maana,kutwa kuchwa anashinda mitandaoni,sijui muda wa kujishughulisha anaupata wapi kama sio utapeli,
Sasa kama watu wamekosa vya kuzungmza wasianze kutaka kusababisha farki na chuki kwenye jamii,ni watu wapuuz tuh wanaweza kuwaza kwa akili fupi kama hizi.

umemuambia vizuri ndugu yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom