Utafiti Feki!!! I am also a researchers, lakini ktk kuchambua "methodology" uliyotumia, tayari nakupa sifuri, kwani wapo wakristu/waislam kwa MJAINA lakini nafsi/roho zao tofauti.
Lingine naomba niambatanishe MCHEMSHO wa data zako kwa nukuu ifuatayo:
Mkoa wa Dar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 120,032, kati yao 111,231 ni Waislamu, na 8801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!
Mkoa wa Mbeya mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 76,136, kati yao 25,621 ni Waislamu, na 8801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!
Utaona data ya "8801 ni Wakristu" inajirudia kwa DSM na Mbeya. Huu ni uongo, ukiwa unatafiti kwa kupika data, utagundulika tu, kama ambavyo DSM na Mbeya kuwa na data inayofanana, HAIWEZEKANI, hizi data ulifjifungia chumabni ukazipika.