Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #181
Ndugu yangu,Astonishing,
Very Astonishing Claims to make,
Mods watueleze,hapa ni mahala rasmi kwa kuja kukejeli dini yetu waislam?uzi huu umeanzishwa ili uje kukejeli iman za watu?
Na siku zote huwa nawauliza Mods kwa vipi huwa wanafumbia macho mambo ya kipuuz kama haya na kuja kuyafunga baadae ili hali inakua hisia za watu tayari zishaumizwa?
Huyu hapa anakuja kusema kwamba uislam ndio unasabababisha kila aina ya maovu na machafu kutokana na ahadi za mafundisho ya dini hii,hizi si ni dharau?
Wale wanaamrisha kufungisha ndoa za jinsia moja na ushoga ni waislam?
Wanaopigana vita uganda na Lord Resistance army kwa ishara ya kutetea amri kumi za mungu ni waislam?
waliovamia Iraq kwa kusema nchi hiyo ina weapons of mass destruction na uhusiano na alqaeda ni waislam?
Waliokaswagwa wanyarandwa makanisani na kuwatupa sadaka wauwawe kwenye ile genocide ni waislam?
Waliokuja kufanya biashara ya utumwa na kuwachukua millions of african people kwenda america na sehemu zingine tena kwa kusomewa vifungu vya maneno matakatifu ni waislam?
Analeta propaganda zake kwamba waislam wana miadi ya kuwaangamiza waamin wa iman zingine ili wapate malipo wapi anayatoa mambo haya,aangalie sehemu zilizo na waislam na zenye machafuko kisha aangalie mkono wa america ukoje sehemu hizo,
na aangalie sehemu zilizo na utulivu kisha apime kipi kinasababisha sehemu hizo kuwa ivo,
Lawama hizi za matusi kejeli na udhalilishaji mimi nawabebesha mods,kwa kuwa ndie ambao wanaruhusu watu kuja kujadili mambo ya kijinga na kipuuzi huku wakipuuzia,hebu jiulize nin mantik ya uzi huu,
Mtu mmoja mpuuz mpuuz na kila mtu anamfaham aje hapa na kusema ye kafanya research,research ipi,si ni huyu huyu alikuja kusema kapata ufadhili na ubalozi wa marekani kuandika mambo ya ugaidi,alisema haya hapa jukwaani na mara baada ya kubanwa na kuulizwa uhalisia akaishia kuuma uma maneno,ana credibility gani ya kusimama mbele yetu na kuzungumza utumbo wake hapa,
Ajabu kuna watu wanakuja mpongeza na kumwona wa maana kwa lipi?
Mtu anakuja kuongopea hata nasaba isiyo ya kwake ili aishi kwa utapeli mjin hapa,nani hajui kuwa huyu ni m'babaishaji tuh?
Anakuja kuongopa yeye ni C.E.0 wa kampuni ili hali ni fundi mchundo tuh?nani amuamin,
Hana elimu,hana kazi ya maana,kutwa kuchwa anashinda mitandaoni,sijui muda wa kujishughulisha anaupata wapi kama sio utapeli,
Sasa kama watu wamekosa vya kuzungmza wasianze kutaka kusababisha farki na chuki kwenye jamii,ni watu wapuuz tuh wanaweza kuwaza kwa akili fupi kama hizi.
Punguza itikadi za kidini katika mjadala huu ili uende sambamba nasi,
Ukiendelea hivyo utaumiza sana moyo wako tena sana!